Hongera mkuu..Utumishi ni Watu fair sana. Mungu yu mwema Hatimaye wameona jina langu linafaa kulamba asali.
Hizo oral mbili ulizofanya ukakosa, ulijuaje umekosa?Utumishi ni Watu fair sana. Mungu yu mwema Hatimaye wameona jina langu linafaa kulamba asali.
Hongera Sana mkuu, kila la kheri katika majukumu yako mapya ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuuUtumishi ni Watu fair sana. Mungu yu mwema Hatimaye wameona jina langu linafaa kulamba asali.
Haha niliona kwa sabab ya furaha nmeandika hata ambayo hayastahil. Ila mbali na yote nimejikuta namimi wamenikumbukaMmh, jamaa mbona kama karudi kivingine, zingatia "utumishi wako fair"
Hizo oral moja tuliingia watu 8 walikua wanataka wawili. Mkeka ukatoka Jina langu halikuwemo.Hizo oral mbili ulizofanya ukakosa, ulijuaje umekosa?
Amen na shukrani sana mkuuHongera Sana mkuu, kila la kheri katika majukumu yako mapya ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu
Ok, sio pengine ulkuwa kwenye databaseHizo oral moja tuliingia watu 8 walikua wanataka wawili. Mkeka ukatoka Jina langu halikuwemo.
Oral ya pili walitaka watu 12 wakaitwa kazini 10 napo jina langu halikuwemo. So oral mbili naingia nikakosa
Kikubwa uingie oral lolote linaeza tokea, possibility ya kuitwa ni kubwa sana.Hizo oral moja tuliingia watu 8 walikua wanataka wawili. Mkeka ukatoka Jina langu halikuwemo.
Oral ya pili walitaka watu 12 wakaitwa kazini 10 napo jina langu halikuwemo. So oral mbili naingia nikakosa
Hiyo imekaaje wakuuVeta Kuna nafasi za kazi zimekuwa Re-advertised na wakatii bado hawajatoa placement
Duh hii kali mkuu...mtu kapata kaz alaf mwingine anakuwa na mashakaKuna watu wanamashaka na wanaotoa shuhuda humu.
Ufafanuzi zaidi mkuuKuna watu wanamashaka na wanaotoa shuhuda humu.
Hawakufaulu OralVeta Kuna nafasi za kazi zimekuwa Re-advertised na wakatii bado hawajatoa placement
Daaah aisee Oral interview walikuwa 17 na nafasi zilikuwa 7 na wamere-advertise nafasi 4 kwa hiyo ina maana 03 tu ndio walifaulu oral??Hawakufaulu Oral
Pass marks za kufaulu kwenye ualimu wowote ule unaotangazwa utumishi ni kuanzia 70%. Labda mkando ulikuwa ni mkali sana na wamefaulu wachache, ndio maana re advertised nyingi.Veta Kuna nafasi za kazi zimekuwa Re-advertised na wakatii bado hawajatoa placement
Yes, bila shakaDaaah aisee Oral interview walikuwa 17 na nafasi zilikuwa 7 na wamere-advertise nafasi 4 kwa hiyo ina maana 03 tu ndio walifaulu oral??