Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

naona upepo unaenda unarotate mpaka uje uwakute mwaka ushaisha
Hao jamaa nilikutana nao dom mwaka huu walifanya oral pale walikuwa zaidi ya mia 3 na toka wameanza kuitwa sidhani hata mia wamefika hivyo wategemee sana kwenye mapdf hao hiyo kada hawapoi
 
wanao faidi resource za nchi alizo umba Mungu ni wachache kwakweli kwakivuli cha sheria na madaraka.
Nimenyosha mikono kwa Taifa Tanzania,

Kama hakuna kazi serikarini busi waturuhusu kila mtu avamie sehemu za Madini tukachimbe wenyenye unachokipata ndo liziki yako na pia sehemu za maziwa mito milima mabonde bahari mti aridhi zenye rutuba tukafanye shughuli zetu kwa uhuru kila aliye umbwa na Mungu kwa dunia hii afaidi mema ya nchi yake!
 
Attachments

  • A3C0A3CB-84A4-451F-9A03-8687E14F1FA0.jpeg
    A3C0A3CB-84A4-451F-9A03-8687E14F1FA0.jpeg
    142.3 KB · Views: 7
wanao faidi resource za nchi alizo umba Mungu ni wachache kwakweli kwakivuli cha sheria na madaraka.
Nimenyosha mikono kwa Taifa Tanzania,

Kama hakuna kazi serikarini busi waturuhusu kila mtu avamie sehemu za Madini tukachimbe wenyenye unachokipata ndo liziki yako na pia sehemu za maziwa mito milima mabonde bahari mti aridhi zenye rutuba tukafanye shughuli zetu kwa uhuru kila aliye umbwa na Mungu kwa dunia hii afaidi mema ya nchi yake!
Pole ila tii sheria bila shuruti hicho unachokiomba hakiwezekani na ukikaidi sie watumishi wa umma tutakushughulikia kulingana na sheria iliyowekwa na jamhuri. Timiza vigezo vya ajira practice your carrier utatoboa tu usahili hata kama wewe ni mtoto wa mkulima.
 
we nae toka uotee udereva umekua motivesheno spika.bongo kazi kwelikweli 😆 😆
 
Pole ila tii sheria bila shuruti hicho unachokiomba hakiwezekani na ukikaidi sie watumishi wa umma tutakushughulikia kulingana na sheria iliyowekwa na jamhuri. Timiza vigezo vya ajira practice your carrier utatoboa tu usahili hata kama wewe ni mtoto wa mkulima.
Vigezo vipi huenda havijatia wewe unaon!, kama kila hatua tayali na kila kinachohitajika tayali kulingana na kanuni na sheria zote za nchi sasa hapo unafikili nini kifanyike, ukiwa na hakiki finyu utasema muombe Mungu, sasa hapo unaombaje Mungu angali asha kusaidia kila hatua ila ni watu wachache hawataki kukubaliana na jitihada zako, au tumuimbe Mungu wafe hao watu au watoke katika authorities zako, wanje wengine wen ueledi na hekima pia na ethics za utumishi ?
 
Vigezo vipi huenda havijatia wewe unaon!, kama kila hatua tayali na kila kinachohitajika tayali kulingana na kanuni na sheria zote za nchi sasa hapo unafikili nini kifanyike, ukiwa na hakiki finyu utasema muombe Mungu, sasa hapo unaombaje Mungu angali asha kusaidia kila hatua ila ni watu wachache hawataki kukubaliana na jitihada zako, au tumuombe Mungu wafe hao watu au watoke katika authorities zako, wanje wengine wenye ueledi na hekima pia na ethics za utumishi ?

wale wanywaji gongo(pombe za kinyeji) kilabuni ukiwahudumia kama muuza pombe ukiwapelekea pombe kwao utasikia wanasema kata kichwa(punguza kidogo unywe na wewe) zamani nilikuwa siwaelewagi ila sasa najua kwanini wanafanya hivyo, maana anaamini ndo njia pekee ya kuamini kazi yako(pombe) na yeye atakuwa salama na walikuwa makini sana hata kama amelewa anahakikisha hadi umeinywa na wewe muhudumu, hapo wakulaumiwa ni nani muuza pombe au munywa pombe!?😂😳
 
Nadhani amezungumzia suala la kuwa na vibali vya kufanya shughuli unayotaka.
Vigezo vipi huenda havijatia wewe unaon!, kama kila hatua tayali na kila kinachohitajika tayali kulingana na kanuni na sheria zote za nchi sasa hapo unafikili nini kifanyike, ukiwa na hakiki finyu utasema muombe Mungu, sasa hapo unaombaje Mungu angali asha kusaidia kila hatua ila ni watu wachache hawataki kukubaliana na jitihada zako, au tumuimbe Mungu wafe hao watu au watoke katika authorities zako, wanje wengine wen ueledi na hekima pia na ethics za utumishi ?
 
Ninaomba kuelekezwa kama mtu hana kitambulisho chochote na ana NIDA namba tu je wanakubali uende na nini ili uchukue barua pale Rose Migiro.? Barua ya Serikali za Mitaa inatosha??
 
siunaona zilivofatana hizo pdf huo ni mkeka mmoja wameuvunja kuwapooza majobless.hapo mpaka hivo vimulimuli vyote vizime hapo ndio watatoa tena sidhani kama ni mwezi huu..
Si wanatuzuga tu,pdf za kila siku 4 mfululizo zipo kimchongo tu yani wangeweka ndan ya pdf moja wakashona wakatulia sku 2 tatu wakashusha mzigo mwngine mzito wa kueleweka..apa kwel mpk kutok lingine sjui lini🙌
 
Back
Top Bottom