Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mara ya kwanza ilikua AICC customer service Oral tuliingia 13 akaitwa 1, mara ya pili FCC oral tuliingia 12 wameitwa 2… sasa nataka kujua next time nikiingia Oral natakiwa kuzingatia vitu gani ili nilambe asali mkuu
Zingatia ilichosema Ngulumto lakini cha kuongezea jitahidi kuwa smart pia kimavazi na ukiingia chumba cha usahili usikimbilie kukaa kwenye kiti subiri wakukaribishe hivyo ni vitu vidogo lakini vinakuongezea ufaulu
 
Oral msingi muhim ni confidence, fanyia kazi ishu ya kuji introduce vzr, jitahd kujua zile duties wkt wa tangazo, kujua abc za maswala ya hio kada/post unayofanyia, challenges pia za kazi husika kazn, ulizia pia wenzako waliwahi kufika oral ya post hio unaeza pata maswali common
Mwamba kaelezea vzur la kuongezea sauti itoke ukiwa unaongea(onesha unajua unachokiongea), tumia gestures wakat unaelezea points, jitahidi usiangalie pembeni hata kidogo waangalie wanaokuuliza maswali usoni, hakikisha unajib kila swali unaloulizwa hata Kama Ni points 4 Kati ya5.
 
Mara ya kwanza ilikua AICC customer service Oral tuliingia 13 akaitwa 1, mara ya pili FCC oral tuliingia 12 wameitwa 2… sasa nataka kujua next time nikiingia Oral natakiwa kuzingatia vitu gani ili nilambe asali mkuu
Mkuu ukitoka kwenye oral unajua kabisa umezingua au?? Kama nafasi ilikua moja huenda upo database although Kuna ushauri mzuri juu hapo kwa Wana jukwaa unaweza kuufuata utakusaidia.
 
Zingatia ilichosema Ngulumto lakini cha kuongezea jitahidi kuwa smart pia kimavazi na ukiingia chumba cha usahili usikimbilie kukaa kwenye kiti subiri wakukaribishe hivyo ni vitu vidogo lakini vinakuongezea ufaulu
1. Facial expression - Usitie huruma ili uonekana unataka kazi au uonekane upo desperate na ujobless
2.Body language - Jifunze kuweka vizuri mwili wako kimkao na usikae kama roboti bali uwe unapoelezea kitu unachezesha na mikono kama vile unawafundisha.
3. Tone of voice - Toa sauti kwa kujiamini maana sauti yako inaweza ikawapa majibu kuwa hujiamini au unajiami.
3. Volume - Hakikisha unapojibu maswali sauti yako inasikika na wote, wasikuulize ulize uongeze saiti
4. Eye contact - Jitahidi unapojibu maswali unamwangalia usoni yule aliyekuuliza.
5. Usijipulizie pafyumu kali na usiende ukinuka kikwapa.
6. Interview ikiisha nenda nyumbani moja kwa moja usipige stori na mtu yoyote
7. Vaa vizuri pendeza
8. Soma vizuri job duties uzielewe na pia fahamu changamoto zinazotokana na hiyo kada yako ukiwa kazini na namna ya kuzitafutia ufumbuzi.
9. Kama hawaja specify ujibu point ngapi kila swali utakaloulizwa jibu point tano tano.
10. Andaa maswali ya kuwauliza angalau ma3, kama wakikuuliza DO YOU HAVE ANY QUESTIONS ?

Muhimu: Nenda kanisani na umuombe sana MUNGU ikiwezekana hata funga kwa ajili ya hiyo siku.
 
A
Ndugu zangu katika utaftaji jumapili ya Leo nipo hapa kuwapa moyo kila mtu atatoka kwa wakati wake uliosahihi, naamini ilo kwakua Mimi Ni mfano unaoishi. Mwaka 2022 bada ya kumaliza degree ya kwanza 2023 niliofanya interview yangu ya kwanza nkafika mpaka oral watu waliitwa kazin zaidi ya 700 lakini mim sikuwepo, mwaka huu nkaendelea na mapambano ya kuongeza received kwenye kuwania position1 while tulikua shortlisted watu zaidi ya 500 kwaajili ya written interview nilikumbana na changamoto nyingi kipindi Cha interview Mambo ya vyeti kutafuta affidavit nkapiga written interview kwa dk25 tu Mungu mwema nkapata nafasi ya kufika oral niliomba Sana huku nkifanya maandaliz ya kutosha na hatimae nkafanikiwa kuliona jina langu kwenye PDF direct. Kikubwa kilichonisukuma kutoa huu ushuhuda ndugu zangu ni tusikate tamaa kuomba na kujarib Tena na Tena hata Kama Ni nafasi moja Mana ndio inaweza kua ya kwako au ukapata kupitia data base tusikate tamaa katika kile tunacho amini.#consistency is the key.
Acha kudanganya hakuna mtu anayekuruhusu kufanya writen interview anagali dakika 35 katika 60 zimeisha yaani umefanya dakika 25 baada ya miangaiko ya usumbufu wa vyeti na afdafid dah ujue kuna watu wankuwa exerted kwakujua au kuonekana special na wengine ni maeyoo na wengine nikutaka kusema hawajui uchungu na kadha inaoyo wakuta wasaka ajira baada ya wao kufanikiwa kuitwa kazini, sijui wakipata placement katika intriduction(semina) za kazi katika utumishi wanambiwa aje kusema hivyo kwa madai ya kutia moyo wasaka ajira(wapambanaji), nonsense
 
Kwahiyo interview ya kwanza hiyo ya watu 700 mliyo ingia oral hawakutaka afidafit na hawakukupa changamoto za vyeti hadi hii ya pili uliyo fanya ndo waliliona hilo (UJUE WATU HUMU WAPO NA AKILI TIMAMU SANA NA WENGINE NI PRO KATIKA HAYA MAMBO YA AJILA NA WAMEMALIZA VYUO ZAIDI YA MIAKA 15 NA KUENDELEA ) kwahiyo semeni vitu vinavyo kuwa na ukweli, usiwe kama watoa ushuda kanisaini wengine ni waongo tu wanataka kuonekana nao Waemejibiwa maombi na Mungu baada ya kuona wengine wanajibiwa na Mungu!
 
Mkuu kwanza kabisa Sina faida nikikudanganya wew au mtu yeyote humu, interview ilikua ya dk40 sio uptitude and gud thing Nina ushahid wa documents affidavit na tarehe niliyofanya interview vinarelate na mpaka leo sijaripot kazin so Amna aliyenambia nije apa kuongea positive things bout process za ajira Kama utaki kuamini it's well and gud sitokuforce kuamin, ila punguza negativity mkuu.
 
Kwahiyo interview ya kwanza hiyo ya watu 700 mliyo ingia oral hawakutaka afidafit na hawakukupa changamoto za vyeti hadi hii ya pili uliyo fanya ndo waliliona hilo (UJUE WATU HUMU WAPO NA AKILI TIMAMU SANA NA WENGINE NI PRO KATIKA HAYA MAMBO YA AJILA NA WAMEMALIZA VYUO ZAIDI YA MIAKA 15 NA KUENDELEA ) kwahiyo semeni vitu vinavyo kuwa na ukweli, usiwe kama watoa ushuda kanisaini wengine ni waongo tu wanataka kuonekana nao Waemejibiwa maombi na Mungu baada ya kuona wengine wanajibiwa na Mungu!
Yah ya kwanza sikusumbuliwa cz tatzo lilikua kwenye Chet Cha kuzaliwa so sikuchukulia Kama Ni big issue ,mpaka interview ya pili nilipokutana na wasimamizi walionikazia kuingia. NA HAKUNA ALIYE PRO KWENYE KUTAFUTA AJIRA WOTE TUNAJIFUNZA KILA SIKU.Ndiomana Kuna watu washapata kazi tangu uzi umeanza still wapo humu kujifunza piah kutoa ushauri, unaloona linakufaa chukua Kama unaona uongo/halikufai acha mkuu.
 
Kwahiyo interview ya kwanza hiyo ya watu 700 mliyo ingia oral hawakutaka afidafit na hawakukupa changamoto za vyeti hadi hii ya pili uliyo fanya ndo waliliona hilo (UJUE WATU HUMU WAPO NA AKILI TIMAMU SANA NA WENGINE NI PRO KATIKA HAYA MAMBO YA AJILA NA WAMEMALIZA VYUO ZAIDI YA MIAKA 15 NA KUENDELEA ) kwahiyo semeni vitu vinavyo kuwa na ukweli, usiwe kama watoa ushuda kanisaini wengine ni waongo tu wanataka kuonekana nao Waemejibiwa maombi na Mungu baada ya kuona wengine wanajibiwa na Mungu!
samahani ni ajira sio ajila
 
Back
Top Bottom