Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Vp wakuu kuna jipya? Mmepoaaaaa sanaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunasubiriia placementVp wakuu kuna jipya? Mmepoaaaaa sanaaa
Kasome kitu kinaitwa 'overriding objective' ue mstaarabusamahani ni ajira sio ajila
Hongereni kwa mliolamba asali leo,Electrical Engineers tuendelee kukaza moyo
kwamba masekretarieti na madereva wako deep kwenye interview. 🤣 🤣Hv kuwa kwenye oral zetu sisi tuna fail ila wenzetu ma sekretarieti na madereva wao ni tambalale
halafu kwenye tarehe 12 sasa pale yaani wanashtua basi tu🤣🤣Hongereni kwa mliolamba asali leo,Electrical Engineers tuendelee kukaza moyo
Watendaji wa kijiji sasa hivi wamepumzishwa kidogokwamba masekretarieti na madereva wako deep kwenye interview. 🤣 🤣
wakiingia na wenyewe kwenye mzunguko sijui hali itakuajeWatendaji wa kijiji sasa hivi wamepumzishwa kidogo
Sasaivi wanaitwa kwenye usaili subiria nyomi lake mwezi wa saba huko.Watendaji wa kijiji sasa hivi wamepumzishwa kidogo
Na wapishi , madereva na masekretariutumishi limekua litaasisi la malecture kila siku matangazo ya malecture tu.wasengenyaji kweli
Majamaa yamegoma kutoa Placement Kwa Electrical EngineersHongereni kwa mliolamba asali leo,Electrical Engineers tuendelee kukaza moyo
machoko kweli yaanNa wapishi , madereva na masekretari
huyu raisi amechangia kiasi kikubwa sana katika hili.sijui aliwaza nini kuweka mifumo miwili ya kuajiri maana hapo wewe unalalamika wenzio nyuma ya pazia wanaingia kiulaini tena taasisi nzitonzito sie tunasubiri mamikeka ya tutorial assistantDaaa hizi pdf za PSRS izi zinakatisha tamaa💔,kuna kutoboa kweli uku? Shida iko wapi kutoa vpdf vya kuunga unga? Maelfu yanayopiga interview hawatuonei huruma jmn😭,Tumewakosea nn