Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hizo oral moja tuliingia watu 8 walikua wanataka wawili. Mkeka ukatoka Jina langu halikuwemo.
Oral ya pili walitaka watu 12 wakaitwa kazini 10 napo jina langu halikuwemo. So oral mbili naingia nikakosa
Ok, sio pengine ulkuwa kwenye database
 
Hizo oral moja tuliingia watu 8 walikua wanataka wawili. Mkeka ukatoka Jina langu halikuwemo.
Oral ya pili walitaka watu 12 wakaitwa kazini 10 napo jina langu halikuwemo. So oral mbili naingia nikakosa
Kikubwa uingie oral lolote linaeza tokea, possibility ya kuitwa ni kubwa sana.
 
Back
Top Bottom