Professier
Senior Member
- May 5, 2023
- 115
- 190
Pdf hadi wiki ijayo. 😂😂Leo kuna harufu ya pdf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pdf hadi wiki ijayo. 😂😂Leo kuna harufu ya pdf
Hukomi 🤣🤣wameshatoa pdf uko
nimekoma ila kwa mbaaaliHukomi 🤣🤣
NashangaaNa Wewe unajiita msomi?
Hamjui huyu kichaaNa Wewe unajiita msomi?
mbona unatukana? Kwani hili jukwaa la kutukanana wazazi? What if ukafanya ustaarabu ukanyamaza kama wengine?Hamjui huyu kichaa
kuna pdf wametoa niko serious nowHamjui huyu kichaa
Ila kiuhalisia na wew acha tu utoto Kuna mda unahitajika kukuakuna pdf wametoa niko serious now
Huyu mm sijuagi nn ana kitakaga ..sidhani km ni msakatonge ..pengine ni mtu upo kutuchora tu apa .. maana huu ujinga unafanya Kila siku sijui nn unachokitagakuna pdf wametoa niko serious now
Endelea kupagawa tu🤣hatimae wametoa sasa mngekufa 😆 😆
jamaa anafanya tuingie web bila kupenda.Endelea kupagawa tu🤣
Yaniiiijamaa anafanya tuingie web bila kupenda.
Daah pole mkuu,Mungu ni mwema usichokePdf niliyokuwa naisubiri ilitoka juzi na sikuwepo, haya haya wakuu nawaaga rasmi tutaonana tena siku nikifanya application na kumaliza interview.
Vp leo kuna jambo au tuzime data tu?jamaa anafanya tuingie web bila kupenda.