El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
Vp boss umechomokakuna pdf
yaani hata daliliVp boss umechomoka
Ipo sikuyaani hata dalili
mbona ipo moja tuHalafu mbona wamepandisha pdf mbili zinazofanana
Wamefuta waliweka mbilimbona ipo moja tu
Usipende kujiweka fungu la kukosa kiasi hikiSina sababu ila dah labla n moyo kukata tamaa tuu
Walitupie tu kabsaok ukiona ivo ujue kuna lingine wamejichanganya
Kiji-pdf kama kawaida yao wazee wa kuvunja vunja, madereva hoyeee!kuna pdf
Daaah kuna waliofanya usahili kuanzia tar 20/3 na pia kimya.. sijui kwanini wanaishiaga 19/3 mwezi wa nne waligusia pdf moja tuuu.. sheeeenziiiMwez wa 4 hawagusi kabisa
Hahahahhahah yaan tareh 12 mwezi wa 6 tunakaribia kufikisha mwaka asee wooiihalafu kwenye tarehe 12 sasa pale yaani wanashtua basi tu🤣🤣
ila ipo siku tu watapotea njia we subiri tu utakuja kuniambia..Hahahahhahah yaan tareh 12 mwezi wa 6 tunakaribia kufikisha mwaka asee wooii
Nimeona db admin wawil kutoka kwenye database..walipiga oral ya self MFDaaah kuna waliofanya usahili kuanzia tar 20/3 na pia kimya.. sijui kwanini wanaishiaga 19/3 mwezi wa nne waligusia pdf moja tuuu.. sheeeenziii
Afadhali ila IT akumbuke na wa mwezi wa nne. Maana hapa pdf nyingine nahisi hadi mwezi wa sita..Nimeona db admin wawil kutoka kwenye database..walipiga oral ya self MF
usiiseeme hivyoooooAfadhali ila IT akumbuke na wa mwezi wa nne. Maana hapa pdf nyingine nahisi hadi mwezi wa sita..