Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tunaona kwamba mnataka watu waishe data base ila kwa speed hii, wasaka ajira watafika wamechoka, kibari tayali why mvutano wa tasisi na psrs kupelekea kuchelewa kwa plaement
 
Tunaona kwamba mnataka watu waishe data base ila kwa speed hii, wasaka ajira watafika wamechoka, kibari tayali why mvutano wa tasisi na psrs kupelekea kuchelewa kwa plaement
Daaaaaaah hali ni mbaya kiukwel
 
Wazee vp ramli leo..... kumekucha kumekucha wapambanaji wenzangu,ila dah huu mziki wa kusubiria pdf aisee asikwambie mtu ni noma Yan Kuna mda hujielewi elewi utazan mja mzito...dah ila cku moja neema itatushukia tu Kwa uwezo wa Mungu
 
Wakuu salama,
Aliyewahi fanya sahili za admission officer written na oral msaada tafadhali.
 
Jobless mpka sasa ivi bado umelala,kwa raha gani sasa🤣🤣🤣🤣,amka uingie ata web ya Psrs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…