Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Haya mambo ya status hata hayaeleweki mwezi wa 9 nilifanikiwa kufanya oral interview mbili kwenye taasisi mbili tofauti baada ya mda status zikawa zinasoma kote SHORTLISTED. Baada ya kupita kama week mbili toka nifanye oral interview taasisi moja ikawa imetoa placement nmekandwa, status ikabaki inasoma shortlisted kwa mda lakini saivi imebadilika inasoma SELECTED FOR ORAL ile taasisi nyingine bado hawajatoa placement kwenye status panasoma SHORTLISTED.
 
Hawaeleweki Hawa nadhani labda status hazina effect zile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…