Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Habari za mida hii,Jamani kwa wazoefu wa ajira portal sijawahi kufanya usaili wa ajira portal nimeomba ajira za ualimu (chemistry) mwajiri ni MDA&LGA Naombeni mnisaidie nipate mwanga sehemu ya kukoncetrate ili nifaulu hiyo paper,Msaada wenu ni muhimu
Kuna kuandika maswali manner yanayohusu ajira yako somo la chemistry na oral
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…