Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nafurahi kuona watu tuliokuwa tunapambana nao pamoja wakiwa wanaingia kundini mdogo mdogo, hakika subira na kupambana ndio hutoa majibu sahihi.

Hakikisha hukati tamaa, omba nafasi yeyote itakayokuja mbele yako, hudhuria sahili yeyote utakayoitwa na usiache kufanya sahili bila sababu yeyote.

Siku ukiitwa kazini ndipo itakuwa wakati wa kuweka kalamu ya usahili chini.

Hongereni mnaoendelea kuingia kundini na mkawe watumishi wema, na wale ambao bado, kuweni na subira kwani kila mtu riziki yake ipo isipokuwa muda wa kuipata ndio unatofautiana miongoni mwetu
 
bora wewe aisee unapata hata matumaini ya kuchungulia pdf muda wowote unaweza kutoboa. kazi iko kwangu uku
Kuna database ya mwezi wa tano mwaka jana wamelishikilia hilo Mpaka liishe .

Letu la mwezi wa nane hawajagusa kabisa na tuko 100 kidogo
 
huko ni mtihani ila ukifnikiwa kuitwa kuna unafuu wa kulamba asali
Halafu nimecheki mbona kama ile Placement ya Electrical Engineer Benjamin mkapa hospital kama walisha chukua mtu tangu mwezi wa tatu ?,maana niliona Placement hiyo mwezi wa tatu kwenye moja ya pdf ya placement humu .
Leo nimeona tena wameita mtu , au ndio poor organization hii kwenye hizi taasisi ? Kuita kwa kubabaisha ?
Au aliyeitwa mara ya kwanza hakureport ?
 
Kwa kujivuna vuta huku si ajabu hata kuna watu wanaitwa kazini na Placement zao kutolewa ila hawajui wala hawareport .
Haya majamaa yana fanya assumption kila mtu ana attention ya kufuatilia Placement mwaka mzima , ujinga sana
 
Nafurahi kuona watu tuliokuwa tunapambana nao pamoja wakiwa wanaingia kundini mdogo mdogo, hakika subira na kupambana ndio hutoa majibu sahihi.

Hakikisha hukati tamaa, omba nafasi yeyote itakayokuja mbele yako, hudhuria sahili yeyote utakayoitwa na usiache kufanya sahili bila sababu yeyote.

Siku ukiitwa kazini ndipo itakuwa wakati wa kuweka kalamu ya usahili chini.

Hongereni mnaoendelea kuingia kundini na mkawe watumishi wema, na wale ambao bado, kuweni na subira kwani kila mtu riziki yake ipo isipokuwa muda wa kuipata ndio unatofautiana miongoni mwetu
Amiin mkuu,tunaendelea kuomba na sisi tubahatike kulamba asali
 
Halafu nimecheki mbona kama ile Placement ya Electrical Engineer Benjamin mkapa hospital kama walisha chukua mtu tangu mwezi wa tatu ?,maana niliona Placement hiyo mwezi wa tatu kwenye moja ya pdf ya placement humu .
Leo nimeona tena wameita mtu , au ndio poor organization hii kwenye hizi taasisi ? Kuita kwa kubabaisha ?
Au aliyeitwa mara ya kwanza hakureport ?
inawezekana hakuripoti au wameongeza mwingine coz niliona hata muhimbili walichukua zaid ya mmoja
 
Back
Top Bottom