Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Nafurahi kuona watu tuliokuwa tunapambana nao pamoja wakiwa wanaingia kundini mdogo mdogo, hakika subira na kupambana ndio hutoa majibu sahihi.
Hakikisha hukati tamaa, omba nafasi yeyote itakayokuja mbele yako, hudhuria sahili yeyote utakayoitwa na usiache kufanya sahili bila sababu yeyote.
Siku ukiitwa kazini ndipo itakuwa wakati wa kuweka kalamu ya usahili chini.
Hongereni mnaoendelea kuingia kundini na mkawe watumishi wema, na wale ambao bado, kuweni na subira kwani kila mtu riziki yake ipo isipokuwa muda wa kuipata ndio unatofautiana miongoni mwetu