Sasa hapo wanabezi kwenye kozi za chemistry na education tulizosoma chuo auKuna kuandika maswali manner yanayohusu ajira yako somo la chemistry na oral
Private bila connection mzee basi uwe unajua kwelii kweliiHuku private mnaitwa kwenye interview?... naona kila nikiapply sipati au mpk connection
bora wewe aisee unapata hata matumaini ya kuchungulia pdf muda wowote unaweza kutoboa. kazi iko kwangu ukuMm kila pdf afisa Muuguzi msaidizi lazima iwepo ila jina langu ndo silioni
huko ni mtihani ila ukifnikiwa kuitwa kuna unafuu wa kulamba asaliHuku private mnaitwa kwenye interview?... naona kila nikiapply sipati au mpk connection
Kuna database ya mwezi wa tano mwaka jana wamelishikilia hilo Mpaka liishe .bora wewe aisee unapata hata matumaini ya kuchungulia pdf muda wowote unaweza kutoboa. kazi iko kwangu uku
Halafu nimecheki mbona kama ile Placement ya Electrical Engineer Benjamin mkapa hospital kama walisha chukua mtu tangu mwezi wa tatu ?,maana niliona Placement hiyo mwezi wa tatu kwenye moja ya pdf ya placement humu .huko ni mtihani ila ukifnikiwa kuitwa kuna unafuu wa kulamba asali
Neema izo zimeanza kuonekana,,,neema in shekhe kipozeo voice😂yaan kwenye pdf la leo angalau nimeona kada yangu baada ya miezi mitatu khaa
Utafikiwa mkuu😊Mm kila pdf afisa Muuguzi msaidizi lazima iwepo ila jina langu ndo silioni
Amiin mkuu,tunaendelea kuomba na sisi tubahatike kulamba asaliNafurahi kuona watu tuliokuwa tunapambana nao pamoja wakiwa wanaingia kundini mdogo mdogo, hakika subira na kupambana ndio hutoa majibu sahihi.
Hakikisha hukati tamaa, omba nafasi yeyote itakayokuja mbele yako, hudhuria sahili yeyote utakayoitwa na usiache kufanya sahili bila sababu yeyote.
Siku ukiitwa kazini ndipo itakuwa wakati wa kuweka kalamu ya usahili chini.
Hongereni mnaoendelea kuingia kundini na mkawe watumishi wema, na wale ambao bado, kuweni na subira kwani kila mtu riziki yake ipo isipokuwa muda wa kuipata ndio unatofautiana miongoni mwetu
inawezekana hakuripoti au wameongeza mwingine coz niliona hata muhimbili walichukua zaid ya mmojaHalafu nimecheki mbona kama ile Placement ya Electrical Engineer Benjamin mkapa hospital kama walisha chukua mtu tangu mwezi wa tatu ?,maana niliona Placement hiyo mwezi wa tatu kwenye moja ya pdf ya placement humu .
Leo nimeona tena wameita mtu , au ndio poor organization hii kwenye hizi taasisi ? Kuita kwa kubabaisha ?
Au aliyeitwa mara ya kwanza hakureport ?
Hakika unawez kata tamaa na usifatilie chochoteKwa kujivuna vuta huku si ajabu hata kuna watu wanaitwa kazini na Placement zao kutolewa ila hawajui wala hawareport .
Haya majamaa yana fanya assumption kila mtu ana attention ya kufuatilia Placement mwaka mzima , ujinga sana
hapo ndo hadi mwakani tena..Neema izo zimeanza kuonekana,,,neema in shekhe kipozeo voice😂
we acha tu wasifuatilie watusogezee bakuli la asali sie tunaokesha web 🤣 🤣Hakika unawez kata tamaa na usifatilie chochote
Walimu waoga jamani kwenye interview sijui kwaniniHizi za walimu zinazotangazwa
Watafanya usaili na wataitwa kazini
Wenzangu na Mimi tuendelee kujifukiza
🤣 🤣 wanatetemeka auWalimu waoga jamani kwenye interview sijui kwanini
Ngj tuone jmn...halafu ile beba kma Tra sjui mwaka jana sjui juzi hakuna tena?jhapo ndo hadi mwakani tena..