Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tuendelee kuombeana mkuu, imebaki mkeka wa NAOT ila nimeukatia tamaa hata kama wataniita kwenye written ingawa sioni kama nitaitwa.

Hizi zilizonikanda ndio niliona ni rahisi ila ikawa kinyume chake.

Sasa akili naihamisha kwenye mishe zingine, haya ya PSRS yamepita.

Wote mliofika oral Muumba akawe upande wenu
Sept 26, 2022 niliandika hii comment

Oct 27, 2022 nilienda kwenye written niliyokuwa naielezea hapa kuwa nimeikatia tamaa

Nov 7, 2022 niliitwa kwenye oral for first time with no experience ya oral.

Jan 9, 2023 utukufu wa Mungu ukadhihirika nikasherehekea ushindi na kuweka silaha chini za mapambano ya mikando.

Niligundua watu wengi tulioitwa kazini pamoja, tulikuwa ni watu tuliofanya sahili nyingi na kushindwa hadi tulipokuja kubahatika.

Kwa hiyo kukata tamaa ni mwiko
 
Me pia nilipta katika icho kipindi ila sikukata tamaa ,Nilifanya sahili kadhaa
PCT - Fail
ORCI- Fail
MNH- Pass to Oral 24/09/2022
NAOT- Fail
Then Placement zikatoka z MNH sikuwepo miongoni mwa waliochanguliwa still niliendelea kuomba kazi endapo Tangazo lolote litatokea

2024-July , Nikiendlea na mapambano ya kimaisha Jina langu likatoka kuitwa MOI

Kitu Nachopenda kuwasihi wenzangu kumuomba Mungu & kutokata tamaa Database ipo inafnya kazi fanya sahili nyingi kadri uwezavyo Even imetangazwa mtu mmoja anahitajika

[emoji110]ALL THE BEST CHAMPS[emoji110]
 
Daah, kwa sasa imebaki historia aisee.

Laiti nisingeenda kwenye ule mkando kama nilivyokuwa nimejikatia tamaa, sijui ingekuwaje maana baada ya hapo nafasi ziliendelea kutangazwa kwa uchache sana huku wengi wao wakaendelea kuchomolewa kutoka Database kupitia zile sahili nilizokandwa.

Kwenye hustle haitakiwi kushusha silaha chini kabla ya ushindi, kadri unavyoendelea kupambana ndivyo unavyoyakaribia mafanikio kwa sababu kwenye kupambana ndipo unapojifunza na kurekebisha makosa uliyokumbana nayo.

Tusikate tamaa tunapopambana na jambo lolote, Mungu anatia wepesi kwa wale wanaoonyesha juhudi za kupambana.
Shukran kaka umeongea point tupu kaka Mwifwa,ila ndugu yangu ni kwel Kuna wkt mtu wakata tamaa kabisa but Wacha tuendelee kuwa na imani na kupambana
 
Daah, kwa sasa imebaki historia aisee.

Laiti nisingeenda kwenye ule mkando kama nilivyokuwa nimejikatia tamaa, sijui ingekuwaje maana baada ya hapo nafasi ziliendelea kutangazwa kwa uchache sana huku wengi wao wakaendelea kuchomolewa kutoka Database kupitia zile sahili nilizokandwa.

Kwenye hustle haitakiwi kushusha silaha chini kabla ya ushindi, kadri unavyoendelea kupambana ndivyo unavyoyakaribia mafanikio kwa sababu kwenye kupambana ndipo unapojifunza na kurekebisha makosa uliyokumbana nayo.

Tusikate tamaa tunapopambana na jambo lolote, Mungu anatia wepesi kwa wale wanaoonyesha juhudi za kupambana.
Sawa mkuu,tunashukuru kwa kututia moyo,I hope tunaenda kulamba asali soon tu apa🤗
 
Me pia nilipta katika icho kipindi ila sikukata tamaa ,Nilifanya sahili kadhaa
PCT - Fail
ORCI- Fail
MNH- Pass to Oral 24/09/2022
NAOT- Fail
Then Placement zikatoka z MNH sikuwepo miongoni mwa waliochanguliwa still niliendelea kuomba kazi endapo Tangazo lolote litatokea

2024-July , Nikiendlea na mapambano ya kimaisha Jina langu likatoka kuitwa MOI

Kitu Nachopenda kuwasihi wenzangu kumuomba Mungu & kutokata tamaa Database ipo inafnya kazi fanya sahili nyingi kadri uwezavyo Even imetangazwa mtu mmoja anahitajika
[emoji110]ALL THE BEST CHAMPS[emoji110]
Sawa Gift,kiukwel mnatupa nguvu ya kusimama tena maana hali ni mbaya...yani daaa moyo uko down doooooown,yani nadhani kma mnatuelewa vile tunafeel
 
Me pia nilipta katika icho kipindi ila sikukata tamaa ,Nilifanya sahili kadhaa
PCT - Fail
ORCI- Fail
MNH- Pass to Oral 24/09/2022
NAOT- Fail
Then Placement zikatoka z MNH sikuwepo miongoni mwa waliochanguliwa still niliendelea kuomba kazi endapo Tangazo lolote litatokea

2024-July , Nikiendlea na mapambano ya kimaisha Jina langu likatoka kuitwa MOI

Kitu Nachopenda kuwasihi wenzangu kumuomba Mungu & kutokata tamaa Database ipo inafnya kazi fanya sahili nyingi kadri uwezavyo Even imetangazwa mtu mmoja anahitajika

[emoji110]ALL THE BEST CHAMPS[emoji110]
Kwa hiyo ulisibiri database Kwa miaka miwili si ndio ?
Au kuna ingerview nyingine ulifanya ?
 
Me pia nilipta katika icho kipindi ila sikukata tamaa ,Nilifanya sahili kadhaa
PCT - Fail
ORCI- Fail
MNH- Pass to Oral 24/09/2022
NAOT- Fail
Then Placement zikatoka z MNH sikuwepo miongoni mwa waliochanguliwa still niliendelea kuomba kazi endapo Tangazo lolote litatokea

2024-July , Nikiendlea na mapambano ya kimaisha Jina langu likatoka kuitwa MOI

Kitu Nachopenda kuwasihi wenzangu kumuomba Mungu & kutokata tamaa Database ipo inafnya kazi fanya sahili nyingi kadri uwezavyo Even imetangazwa mtu mmoja anahitajika

[emoji110]ALL THE BEST CHAMPS[emoji110]
Hongera japo Hapo kwenye 2024- july sijaelewa maana bado hatujafika
 
Nimeona watu wanachomolewa kutoka database ambapo walifanya oral ya Academician na kupelekwa kwenye taasisi zingine za kawaida tena zingine zikiwa na asali kuliko huko kwenye taaluma/kufundisha.
Kumbee hii inawezekana mkuu umenitia moyo sana
 
Attachments

  • Screenshot_20240526-173423.jpg
    Screenshot_20240526-173423.jpg
    87 KB · Views: 6
Back
Top Bottom