Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Jobless mnatingisha mfumo wa watu🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijilambisha asali haiwezekani...unaweza kwenda kweny taasisi uliojilambisha asali ukaaibikaAu watu wanataka kuhack nn mjilambishe asali🤣
Taasisi inapewa tu taarifa na psrs, wewe pia utaenda na barua ya psrs. Wewe kazi yako ni kupandisha tu majina IT atakuja kuprint!Kijilambisha asali haiwezekani...unaweza kwenda kweny taasisi uliojilambisha asali ukaaibika
Tuendelee kumuomba munguDAAAH KUMEKUCHA TENA KIKACHEROO
Embu andika vizuri uweleweke mzee.Jobless sijui tunafeli wapi yaani walioitwa usaili pdf la 26/5/2023 ni wachahche sana, halafu wote wanapiga oral tu. Halaf wengine wapo mtaani wanalalamika mambo ya ajira sijui connection lakin hawataki kuapply. Hebu fikiria yaani mwalimu kaitwa kwenye usaili mmoja tu. Halaf... Daah aisee walimu acheni uoga wa intavyuu.. 😂😂😂😂
Kasome pdf walioitwa usaili 26/05/2024 utaelewaEmbu andika vizuri uweleweke mzee.
Sasa mbona uliandika 2023....,Kasome pdf walioitwa usaili 26/05/2024 utaelewa
Sawa,mtoe wa kuelewek sasa itLeo mkeka 100%
Pinacodee see you, umewahi namba asubuhiSawa,mtoe wa kuelewek sasa it
Kila Hadua Tua mzeeTuendelee kumuomba mungu
Mapema tu, hawachelew kutudisappoint tatizoPinacodee see you, umewahi namba asubuhi
mabadiliko ya nini tena status auMbona Kwang Kuna mabadiliko kweny app jamn, na nyiny ivy ivy au
Aje, elezeaMbona Kwang Kuna mabadiliko kweny app jamn, na nyiny ivy ivy au, selected for oral haipo wameweka Shortlisted 😔
Eeeeh au ndo nimeaga mashindano🥲mabadiliko ya nini tena status au
Inawezekana tayar umeshalamba asali