Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Sept 26, 2022 niliandika hii commentTuendelee kuombeana mkuu, imebaki mkeka wa NAOT ila nimeukatia tamaa hata kama wataniita kwenye written ingawa sioni kama nitaitwa.
Hizi zilizonikanda ndio niliona ni rahisi ila ikawa kinyume chake.
Sasa akili naihamisha kwenye mishe zingine, haya ya PSRS yamepita.
Wote mliofika oral Muumba akawe upande wenu
Oct 27, 2022 nilienda kwenye written niliyokuwa naielezea hapa kuwa nimeikatia tamaa
Nov 7, 2022 niliitwa kwenye oral for first time with no experience ya oral.
Jan 9, 2023 utukufu wa Mungu ukadhihirika nikasherehekea ushindi na kuweka silaha chini za mapambano ya mikando.
Niligundua watu wengi tulioitwa kazini pamoja, tulikuwa ni watu tuliofanya sahili nyingi na kushindwa hadi tulipokuja kubahatika.
Kwa hiyo kukata tamaa ni mwiko