Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

wengine interview 3 hatujaitwa hata oral moja.

tupo kwenye mark 42,yapili 42 na ya3 48 sijajua kwamba nipo kwenye kupanda tu au ya nne ntapigwa kick nitue mpk 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…