Usikate tamaa ndugu ipo sku utafika oral, usichoke kuhudhuria Kila usaili unaoitwa.wengine interview 3 hatujaitwa hata oral moja.
tupo kwenye mark 42,yapili 42 na ya3 48 sijajua kwamba nipo kwenye kupanda tu au ya nne ntapigwa kick nitue mpk 20
dah haya mambo ni kazi kweliUsikate tamaa ndugu ipo sku utafika oral, usichoke kuhudhuria Kila usaili unaoitwa.
Daaah kitaa pagumu aisee. Ngoja tuendelee kusubiria.. 😂😂Mkuu ata mda n lga...waliopiga mwez wa nne .. programmer weng wameitwa..
IT anaupiga mwing...subir atakufikia tu
Hahahaaa yaan wanaoona majina Yao sjui wanatumia lenz gani!?Yan Kila pdf inapotoka mtu unapiga jicho hola yan dah aisee sio poa jaman.....cku naona jina langu kweny DB aisee nitakata viuno vya ukweni Kwa muda usiopungua lisaa,mtaani kigum jamn Yan kigum mpaka pdf ikitoka mtu unakuwa mvivu kuangalia....dah
Jeuri iyo hawana kutoa pdf 2 kwa siku 1,we vpdf vya page 2 kweli🤣kuna pdf lingine mazee nenden mkaangalie ya mungu mengi
Unaitwa kazini madeni yamekuandama mshahara wa miez mitatu unalipa madeni tuUTUMISHI WANACHUKUA ZAIDI YA MWAKA KUITA WATU KAZINI, WATAKUJA KUITA KAZINI MAREHEMU
Bora wewe mkuu unakopeshekaUnaitwa kazini madeni yamekuandama mshahara wa miez mitatu unalipa madeni tu
Kwanin mzee[emoji3]Punguza stress
Mkuu wangu vipi kwemautumish hebu toeni hata cha nusu page tulale
Mkuu mwezi huu psrs wametembeza sana pdf japo zingine hazikidhi viwango yaani sio ndefu sana ila sasa hawa jamaa wakikataga unaweza kukaa mwezi bila pdf ilishawahi kutokeautumish hebu toeni hata cha nusu page tulale
kwema vp harakati naona utumishi wanatesa banaMkuu wangu vipi kwema
sio mchezo yaan tunapigika yaan hela za bando nilizojiunga naweza kununua hata ka teza flani hiviMkuu mwezi huu psrs wametembeza sana pdf japo zingine hazikidhi viwango yaani sio ndefu sana ila sasa hawa jamaa wakikataga unaweza kukaa mwezi bila pdf ilishawahi kutokea
Daah acha tu mkuu nimewaona mikeka inakuja hola aisee. NIMEAMUA NILE FOREX TU MKUU baada ya kukusanya mtaji wa kuuza miwakwema vp harakati naona utumishi wanatesa bana