El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
bora wewe aisee hata kada yako wanatoa kila pdf wengine toka mwaka jana alaf kila pdf hola hata kada huioniSame to me 2022 walioitwa watu wengi kutoka database kwa kada yangu na mimi nakandwa kipindi hicho.
Mwaka jana nikaingia oral nikaona magoli aisee kufika hadi leo wamekomaaa na database ya watu waliofanya interview mwezi wa sita ila sisi wa Mwezi wa nane hawajagusa hata Mmoja database yetu Inaenda mwezi wa 10 now
Kaka Injinia Tuendelee kumuomba Mungubora wewe aisee hata kada yako wanatoa kila pdf wengine toka mwaka jana alaf kila pdf hola hata kada huioni
tunateseka ila tutoboa tu iko siku..Kaka Injinia Tuendelee kumuomba Mungu
DAAH NIMEKANDWA NA PSRS, KANJI, NA FOREX MWEZI MGUMU SANA HUU[emoji848][emoji88]tunateseka ila tutoboa tu iko siku..
Daaaah,wallah huu mwaka ni mgumu huu,mwaka shufwa 2024 umekua mgumu kuliko mwaka witiri 2023.DAAH NIMEKANDWA NA PSRS, KANJI, NA FOREX MWEZI MGUMU SANA HUU[emoji848][emoji88]
Hujalala tu[emoji3][emoji3]Daaaah,wallah huu mwaka ni mgumu huu,mwaka shufwa 2024 umekua mgumu kuliko mwaka witiri 2023.
PoleDaaaah,wallah huu mwaka ni mgumu huu,mwaka shufwa 2024 umekua mgumu kuliko mwaka witiri 2023.
Daaah wewe ni legend sidhani kama kuna kitu kinaweza kukuumiza tena.DAAH NIMEKANDWA NA PSRS, KANJI, NA FOREX MWEZI MGUMU SANA HUU[emoji848][emoji88]
madereva wenzetu wanatoa zaka na fungu la kumi uko 🤣 🤣Daaaah,wallah huu mwaka ni mgumu huu,mwaka shufwa 2024 umekua mgumu kuliko mwaka witiri 2023.
Mkuu sam mirror 1 unasubiri database au apa kati kati umepiga sailiKumekucha tuendelee na mapambano, dua ziendelee.
Mkuu acha tu mapambano inabidi yasonge no wayyy, kumekucha tuzame webb tutoke tukajifunze kutumia CANVA kutengeneza Mabango sasaDaaah wewe ni legend sidhani kama kuna kitu kinaweza kukuumiza tena.
Mkuu kumekucha Tuzame ata kusoma DIGITAL MARKETINGmadereva wenzetu wanatoa zaka na fungu la kumi uko [emoji1787] [emoji1787]
Kumekucha mkuu Dua nyingiKumekucha tuendelee na mapambano, dua ziendelee.
Madereva mwaka wao huu mwaka jana ulikuwa mwaka wa afisa maendeleo.madereva wenzetu wanatoa zaka na fungu la kumi uko [emoji1787] [emoji1787]
Kada yako ni ipi?Madereva mwaka wao huu mwaka jana ulikuwa mwaka wa afisa maendeleo.
Kada yangu sijawahi kuona watu 50 wakiitwa kazini kwa pamoja
AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA PILIKada yako ni ipi?
huu mwaka hauishi utakua ushatoboaAFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA PILI
Kila Uzi lazima uikute