El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
bora wewe aisee hata kada yako wanatoa kila pdf wengine toka mwaka jana alaf kila pdf hola hata kada huioniSame to me 2022 walioitwa watu wengi kutoka database kwa kada yangu na mimi nakandwa kipindi hicho.
Mwaka jana nikaingia oral nikaona magoli aisee kufika hadi leo wamekomaaa na database ya watu waliofanya interview mwezi wa sita ila sisi wa Mwezi wa nane hawajagusa hata Mmoja database yetu Inaenda mwezi wa 10 now