Gotzon
JF-Expert Member
- Feb 25, 2021
- 244
- 305
Kwa kukawia huku, lazima wanaoitwa wengine ni marehemuUTUMISHI WANACHUKUA ZAIDI YA MWAKA KUITA WATU KAZINI, WATAKUJA KUITA KAZINI MAREHEMU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kukawia huku, lazima wanaoitwa wengine ni marehemuUTUMISHI WANACHUKUA ZAIDI YA MWAKA KUITA WATU KAZINI, WATAKUJA KUITA KAZINI MAREHEMU
Mkuu, hatufanani, just ignore himHuu Uzi umesaidia wengi ila Kuna mshamba mmoja ameanza kuharibu sijuii anafanya kwa faida gani anayopataa??,,T-pain
Sio jobless anaonekanaHuu Uzi umesaidia wengi ila Kuna mshamba mmoja ameanza kuharibu sijuii anafanya kwa faida gani anayopataa??,,T-pain
Not selected for oral baada ya kupiga oral hiyo ni Bye bye.Hamna mkuu ukiona not selected for oral after oral inamaana huwezi kupata post husika kwa sababu wenye vigezo wametimia Cha msingi endelea kufatilia PDF lolote linaweza kutokea kupitia database lakini kama walitangaza na kwingine tena kada the same na yako apo huenda umekosa mazima.
Kunakoelekea yani,hali itazid kua mbayapinacoldee unaona mambo ya majobless ayo.omba upate kazi mapema usije na wewe ukaanza kuweka vimulimuli humu.. 🤣 🤣
Kasem ana ushahid,ingekua vyema akatuoneshaNot selected for oral baada ya kupiga oral hiyo ni Bye bye.
hutaki vimulimuliii upewe ajiraaa ya udereva wa ambyulensiEeh kumbe we nae ni T pain
Sio profession yangu iyo😕hutaki vimulimuliii upewe ajiraaa ya udereva wa ambyulensi
Alete ushahidi Mimi ninayo not selected for oral kwa tuliopiga nao nane walilamba asali watano NOT selected mpaka leo hamna kitu tunajipanga upyaaa.Kasem ana ushahid,ingekua vyema akatuonesha
Oya Baba Jeni bye bye tena mbona sielewiNot selected for oral baada ya kupiga oral hiyo ni Bye bye.
Umeelewa nilichomaanisha??? Au nikupe evidence waliopata placement za juzi kati hapa na walipiga oral mwaka Jana bye bye ni placement husika tu.Not selected for oral baada ya kupiga oral hiyo ni Bye bye.
Kama hujapata na wakatangaza tena kazi za kada Yako basi we ulifeli oral mkuu. Acha kubisha kubali matokeoAlete ushahidi Mimi ninayo not selected for oral kwa tuliopiga nao nane walilamba asali watano NOT selected mpaka leo hamna kitu tunajipanga upyaaa.
utumishi mizinguo mamamaeJama kaamua kuwafuata psrs dodoma kwa spidi na vig’ora 😂😁, ila psrs mafanya watu waanze kuonekana hawajui walifanyalo na kuoneka chizi kwa wenzaoo, dah psrs Mungu anawaona inawezekana jamaa kawa overstressed kwawafikilia niye sana, sasa mtu anasubiri placemment zaidi ya mwaka kama yesu bhana, au mnatangaza nafasi za kazi bila kuwashirikisha waajiri wa kada husika?, sasa hao waajiri watakuwa nao hawajitambui kama wanawapa uhitaji wa wafanyakazi wapya afu asiwachukue kwa wakati hadi wanapo jisikia, humu watu wanafamilia ila mnawafanya waonekane wajinga na kukesha web yenu, hapo tuseme nani hajitabui psrs, wasaka ajira, wajiri(taisisi, wizara, mashirika, wakala, depertment, idara), au uogozi wa juu wa serikali,
Najiulizaga ile maana halisi(defination) ya Government hadi leo naona haitendewi haki
Psrs Semeni maana ya government alafu zitendeini haki authorities zenu mlizo pewa au kupata, maana watu ndo government na Viongozi ndo mhimili wa government ila Tanzania Government ni ya watu flani au kikundi cha watu, Mungu ni mkubwa hao watu wanao jiita government na wengine wanaotumia authorities za utumishi wa uma vibaya ndo tunaona katika misiba yao mara nyingi tarifa ya ugonjwa wao huwa ni magonjwa makubwa kama vile kisukali, pressure, unene uliopitiliza, kuongezeka kwa moyo, tb, figo kufeli ini kufeli , kidole tumbo ngili, damu chafu na mengine mengi ila chapa vumbi kama sisi hata katika tope na mavumbi tunakaa na hatuumwi tunakula ugali na dagaa au chumvi au mboha mchemsho za majani na vyakula mnavyo viona vya hovyo au vya mbwa ila tunaishi miaka mingi na nguvu nyingi za kila aina nguvu za mwili, nguvu za kiume na kike, wili kuwa strong so Mungu huwabaliki waliyo wao

Hawa PSRS 🙌🙌🙌 tutafika lakini🚶🚶🚶kwa izi pdf sio haba foleni inapungua polepole