Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tunako elekea Jobless.......!!!!
Mungu atutetee tuwe na moyo wa uvumilivu kwa matendo ya serikali wanayotutendea maana Sio Matumain wanayotoa serikali kwa jobless alafu vitendo hamna...
Mimi hizi Ajira za ualimu naomba leo leo wakitangaza tu
 
Hapana hapo Huwa wanamaanisha kuwa sio kwamba umefeli mazima maana yake Ile post husika huwezi kupata kutokana na ufinyu wa nafasi Cha msingi ni kuendelea kuchungulia PDF lolote linaweza kutokea ni ushahidi kuhusu hili
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom