Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sijui nisemaje ila all in all najipanga upya nina receiver moja ya tanapa, oral nilifika moja wakaandika not selected for oral nahisi nililiwa kichwa.
Hamna mkuu ukiona not selected for oral after oral inamaana huwezi kupata post husika kwa sababu wenye vigezo wametimia Cha msingi endelea kufatilia PDF lolote linaweza kutokea kupitia database lakini kama walitangaza na kwingine tena kada the same na yako apo huenda umekosa mazima.
 
Mim naona kada zenye theory-practical-oral, ndio zinauhakika zaidi mtu akifika oral...wengi wanatusua
 
Kwa hiyo kumbe status zina maana mkuu??baada ya kufanya oral
 
Sina matumaini, ni toka mwaka jana mwezi wa 6, najipanga upya, Mungu mwm nitatoboa.
 
Kama status inasoma not selected ni kujipanga upya,kusubir interview nyingine kwakwel
Hapana hapo Huwa wanamaanisha kuwa sio kwamba umefeli mazima maana yake Ile post husika huwezi kupata kutokana na ufinyu wa nafasi Cha msingi ni kuendelea kuchungulia PDF lolote linaweza kutokea ni ushahidi kuhusu hili
 
Nadhani umeelezea vizuri sana kuhusu hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…