Anakuzingua tu we subiri hiyo IAEMUCE-selected for oral
IAE-shortlisted
Nimejaribu kumtext alieripot MUCE, anasema ye tangu amepiguwa simu hajawahi ingia kwenye account
Hata hii watu tumepigiwa simu hapa tukaanze kazi.Nilikwambia subiri IAE mzeeππππππ
Hii huwa wanaangaliana kuchek nani ajibu haswa ukiwakanda vzr wale wenye taasisi wanajibu [emoji3][emoji3][emoji3]Hapa inabidi nikajizolee point maana wao kunikanda ni rahisi, nikiwauliza swali hasa likiwa la technical naweza kufukia mashino nitakayokutana nayo
ππππKijana wa hovyo unataka kumpanikisha Ahmet hahhhhHata hii watu tumepigiwa simu hapa tukaanze kazi.
nataniaπ€£π€£π€£
Kaka ulishanitoa mchezoni, daahπππππππππππππππππππππππHata hii watu tumepigiwa simu hapa tukaanze kazi.
nataniaπ€£π€£π€£
Nilishapanic kwakweliππππKijana wa hovyo unataka kumpanikisha Ahmet hahhhh
ππππHaya mambo inatakiwa uishi Yani Ukikosa kama umepata na ukipata kama umepataKaka ulishanitia mchezoni, daahπππππππππππππππππππππππ
Tulia kijana vip oral mlikua wangapi na nafasi ilitaka wangapiNilishapanic kwakweli
Oral tulikuwa 24 na nafasi 9 (tumaini langu la mwisho,)Tulia kijana vip oral mlikua wangapi na nafasi ilitaka wangapi
ππππHahhhhh Mimi kwa nilipofikia naona yote sawa tuNilishapanic kwakweli
Andaa suti tu mkuuOral tulikuwa 24 na nafasi 9
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kaka umeongea kimasihara lkn nadhani tuishi humu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya mambo inatakiwa uishi Yani Ukikosa kama umepata na ukipata kama umepata
ππππHapo Ushapata mzee hofu yanini??ingekuwa zile za post moja sasa ungefanyaje??Oral tulikuwa 24 na nafasi 9
Mimi swali nataka nilielekeze kwenye taasisi, kwa hiyo nataka nikawachallenge hata kama watanikanda[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hii huwa wanaangaliana kuchek nani ajibu haswa ukiwakanda vzr wale wenye taasisi wanajibu [emoji3][emoji3][emoji3]
ππππMimi hiyo huwa inanisaidia ili kupunguza presha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kaka umeongea kimasihara lkn nadhani tuishi humu.
Wengi Sana hao aandae suti tuOral tulikuwa 24 na nafasi 9 (tumaini langu la mwisho,)
MUCE oral 3 nafasi 1 (nishakandwa)
Muhas oral 5 nafasi 2 (nishakandwa)
Hahaha acha tuone, ni Dua tu mzeeWengi Sana hao aandae suti tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uwakande vizuriMimi naandaa swali nitaomba niwaulize
Namba ya wafanyakazi inatakiwa iendane na ratio ya kazi iliyo so wafanyakazi wakizidi unawahoji kwanini kazi inahitaji watu wanne nyie mmeajili 10??