Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

MUCE ni chuo kikuu mchakato unaendeshwa na chuo utumishi wakisimamia tu...IAE ni chuo cha kati mchakto upo utumishi ndio maana vyuo vyote vya kati bado hawajaita wat kzn kua na amani
Tulifanyia chuoni kwao pale, siwezi jua kama utumishi ndio walisimamia zoezi au chuo lakini maafisa utumishi walikuwepo
 
Mkuu hili swali la weaky zako unajibuje.. kama ww ulijiandaa kujibu vip
😂😂😂😂acha kiongozi unajua niliendaga nimemeza weakness zangu nikajua hapa hawachomoki sasa ikanza education background nikajibu nikaona kumbe nawamudu hawa sasa sijakaa vizuri wakaanza zile duties wakati huo nilikuwa naikumbuka moja tu halafu wanataka tano nikasema asa haya ndo maswali gani ,sijakaa vizuri nikaulizwa methods zinazotumika kwenye kazi yangu hapo ndo nikaona eeeh kumbe Hawa jamaa wapo serious kunikanda aseeh
[/QUOTswali la swa
 
Oral tulikuwa 24 na nafasi 9 (tumaini langu la mwisho,)


MUCE oral 3 nafasi 1 (nishakandwa)
Muhas oral 5 nafasi 2 (nishakandwa)
Ya muce ndio ulikuwa na nafasi kubwa sana ila usikate tamaa yawezekana mungu anataka uwe mtumishi wa IAE. Pia amini kuwa kila kitu kina sababu
 
Back
Top Bottom