Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,565
Watakujibu mkuu hawanaga shida,Mimi swali nataka niliekeze kwenye taasisi, kwa hiyo nataka nikawachallenge hata kama watanikanda[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakujibu mkuu hawanaga shida,Mimi swali nataka niliekeze kwenye taasisi, kwa hiyo nataka nikawachallenge hata kama watanikanda[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
SureHahaha acha tuone, ni Dua tu mzee
Principle of optimaliry [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi hiyo huwa inanisaidia ili kupunguza presha
Alaf kumbe MUCE watu washaripoti kazini, wamefanya kimya kimya bila kutoa taarifa, nishakandwa
Yaani wamekuwa wasiri sanaHivi huko UDOM nako bado kweli au ndo tayari watu washaanza kazi.
Tuombe sanaHii sasa tatizo.
Jamaa yawezekana anakuzingua, una proof kua kapigiwa na kuanza kazi?MUCE-selected for oral
IAE-shortlisted
Nimejaribu kumtext alieripot MUCE, anasema ye tangu amepigiwa simu hajawahi ingia kwenye account
Ni kweli hii, nawajua wengi tayari wameripotiJamaa yawezekana anakuzingua, una proof kua kapigiwa na kuanza kazi?
Tulifanyia chuoni kwao pale, siwezi jua kama utumishi ndio walisimamia zoezi au chuo lakini maafisa utumishi walikuwepo
Shukrani kwa ufafanuziMUCE ni chuo kikuu mchakato unaendeshwa na chuo utumishi wakisimamia tu...IAE ni chuo cha kati mchakto upo utumishi ndio maana vyuo vyote vya kati bado hawajaita wat kzn kua na amani
😂😂😂😂acha kiongozi unajua niliendaga nimemeza weakness zangu nikajua hapa hawachomoki sasa ikanza education background nikajibu nikaona kumbe nawamudu hawa sasa sijakaa vizuri wakaanza zile duties wakati huo nilikuwa naikumbuka moja tu halafu wanataka tano nikasema asa haya ndo maswali gani ,sijakaa vizuri nikaulizwa methods zinazotumika kwenye kazi yangu hapo ndo nikaona eeeh kumbe Hawa jamaa wapo serious kunikanda aseeh
[/QUOTswali la swa
Utumishi hawatowagi hilo swali mkuuMkuu hili swali la weaky zako unajibuje.. kama ww ulijiandaa kujibu vip
Ya muce ndio ulikuwa na nafasi kubwa sana ila usikate tamaa yawezekana mungu anataka uwe mtumishi wa IAE. Pia amini kuwa kila kitu kina sababuOral tulikuwa 24 na nafasi 9 (tumaini langu la mwisho,)
MUCE oral 3 nafasi 1 (nishakandwa)
Muhas oral 5 nafasi 2 (nishakandwa)
Mkuu ya MUCE hapo ndio ilikuwa ngumu kupata kimahesabuYa muce ndio ulikuwa na nafasi kubwa sana ila usikate tamaa yawezekana mungu anataka uwe mtumishi wa IAE. Pia amini kuwa kila kitu kina sababu
Hiyo muce ilikuwa ngumu sana tena sana mzee amini IAE ni yakoMkuu ya MUCE hapo ndio ilikuwa ngumu kupata kimahesabu
😅😅😅 Kaka nikipata nitakualika kwenda kuchukua barua domHiyo muce ilikuwa ngumu sana tena sana mzee amini IAE ni yako
😂😂😂Hii tutaenda wote mzee haya mabadiliko ya status nadhani yana maana yake hebu kumbuka ya muhas ilikuwaje kabla ya placement😅😅😅 Kaka nikipata nitakualika kwenda kuchukua barua dom
Ya MUHAS ilikuwa ni oral pekee, hakukua na written kwaiyo haijawahi Kaa selected for oral😂😂😂Hii tutaenda wote mzee haya mabadiliko ya status nadhani yana maana yake hebu kumbuka ya muhas ilikuwaje kabla ya placement
SawaYa MUHAS ilikuwa ni oral pekee, hakukua na written kwaiyo haijawahi Kaa selected for oral