Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Umewekewa na ratiba ya practical?MECHANICAL ENGINEERING
Acha wenge wewe !Umewekewa na ratiba ya practical?
Duuuh poleAcha wenge wewe !
Nauliza kingine unakuja na mada zako, ingia kwenye account yako uone.
Watu hawako sawa mkuu, we jipitie zako tuDuuuh pole
we pinacoladee unacheka nini 🤣 🤣 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 The struggle is real
Yani tumeanza kuchanganyikiwa live tunajiona🤣🤣🤣we pinacoladee unacheka nini 🤣 🤣 🤣
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 hali mbaya utumishi wachukue hatua za haraka aisee tutaokota makopoYani tumeanza kuchanganyikiwa live tunajiona🤣🤣🤣
Maswali ni zile topic za chuo...Habari wakuu
Vipi maswali yao ya UTUMISHI ya mfumo mpya (online test) huwa wanabase wapi
Shukrani mkuuMaswali ni zile topic za chuo...
Hayana tofauti na ilivyokuwa zaman...kikubwa upitie maswali zaid online na pia soma job description wanataka mtu wa aina gani na usome hapo
Hapana ni yale yale yamehamishiwa kwenye computer...yapo 50 kwa saa moja... multiple choiceShukrani mkuu
Kwaio haina toufati sana na ile written ya kitambo ya kwenda Dodoma ?
Nilikuwa nahisi labda hii aptitude test itakuwa na maswali mchanganyiko (hesabu, ya kijamii, ya darasani na Yale yakuchangamsha akili)
NAmi nimechaguliwa ila sijaelewa mbona mchujo mara 3🤣 written online , practical,na oralDah
Wasome Protocol
Etiquette
Sheria zote za East Africa
Sera ya Mambo ya Nje ya Taifa
Aina za Balozi
Kazi za Ubalozi
Kwa mengine njoo PM
CIVE pamoto sana 🔥...ni panaitwa SAIVU wageni wanaulizia sive😂View attachment 3006709time is over pen dooown.... !!!! 🤣 🤣
Daaah sehemu yangu ya kujidaii nilikuaga nikiingia hapo nikiangalia wingi wa watu naanza kuwaza nauli yangu ambayo ni kama naenda kuipoteza ila yote kwa yote Mungu ni mwemaa,,,kikubwa ni kutokukata tamaa kabisaCIVE pamoto sana 🔥...ni panaitwa SAIVU wageni wanaulizia sive😂
saivu 🤣 🤣CIVE pamoto sana 🔥...ni panaitwa SAIVU wageni wanaulizia sive😂