Amina... tuombe MunguMungu atusimamie ikawe heri kwa gov .....watutoe mtaani Mambo hayaendi sawa
Ndiyo mkuu kalikuwepoNa kale la View time table kalikuwepo kwako kwenye Status?
Yani ww🤣🤣🤣🤣🤣🤣Na kale la View time table kalikuwepo kwako kwenye Status?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yani ww🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Leo naona kama shwaaaah🥲Tupo live tunasubir chochote kitu kwenye web....leo sijui lipo au ndio shwaaa
Jaman nataka kujua tu. HahahahahYani ww🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Matumaini naendelea kuwa nayo. AsanteNdiyo mkuu kalikuwepo
Poa..tumuombee IT kesho afanye mamboLeo naona kama shwaaaah🥲
InshallahPoa..tumuombee IT kesho afanye mambo
Matumaini naendelea kuwa nayo. Asante
Mkuu naona unatujibu vzur..tupe siri ya kutoboa kwako? Na je ulijibu maswal yte kwny oral?Nakutakia kila la kheri Mkuu,kama unaona ulifanya vizurii Oral utapataa
Amina, Ila hiyo kufanya vizuri SasaNakutakia kila la kheri Mkuu,kama unaona ulifanya vizurii Oral utapataa
Mm naona bora matokeo ya oral yangewekwa hadharani,sijaona umuhimu sana wa kuficha kwao matokeo. Wewe iyo oral unaikadiliaje maana naskia kila kitu mule kina marks, naskia adi dressing style,confidence na maswali yote yana marks zakeAmina, Ila hiyo kufanya vizuri Sasa
Unajikuta kila ukikadiria minimum Ina chezea 55-75. Ni huzuni
Mm kada yangu nilikuwa na maswali jumla 5Mm naona bora matokeo ya oral yangewekwa hadharani,sijaona umuhimu sana wa kuficha kwao matokeo. Wewe iyo oral unaikadiliaje maana naskia kila kitu mule kina marks, naskia adi dressing style,confidence na maswali yote yana marks zake
Mmmh kwahyo unahis umepata ngap ss?Mm kada yangu nilikuwa na maswali jumla 5
Unapojibu unaona tu hapa napuyanga, ukitaja points za maana kwenye swali husika unajua nimejibu
Unaweza kukadiria tu Kama ilivyo written
Kwa non gov inawezekana. Sahili zinakua flexible, zinapima hasa kile unajua kuhusu kazi, hizi huku za kupambania huko "Migiro" za mention 5 points,... zimekosa flexibility hiyo.Tusubir pdf wakuu...tusijistress, kuna excel moja niliiona sehem..
Oral assessment, kuna mwenye 75,78,65...
Comment: kachukuliwa wa 75 kwa sababu anaufaham mzuri na kazi..
Hii ni comment ya engineer wa taasis hiyo...
Sasa naona hiyo ndio sababu hawaweki matokeo...
Hii haikuwa gov
Ni kweli kabisa. Written interview kinaangaliwa kile ulichojibu tu ila oral interview yale majibu ni sehem ndogo ya ufaulu. Hata reaction yako pale unapoulizwa swali ambalo hulijui pia inaweza kukupa marks au kukupunguzia.Tusubir pdf wakuu...tusijistress, kuna excel moja niliiona sehem..
Oral assessment, kuna mwenye 75,78,65...
Comment: kachukuliwa wa 75 kwa sababu anaufaham mzuri na kazi..
Hii ni comment ya engineer wa taasis hiyo...
Sasa naona hiyo ndio sababu hawaweki matokeo...
Hii haikuwa gov