Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Amina, Ila hiyo kufanya vizuri Sasa
Unajikuta kila ukikadiria minimum Ina chezea 55-75. Ni huzuni
Mm naona bora matokeo ya oral yangewekwa hadharani,sijaona umuhimu sana wa kuficha kwao matokeo. Wewe iyo oral unaikadiliaje maana naskia kila kitu mule kina marks, naskia adi dressing style,confidence na maswali yote yana marks zake
 
Mm kada yangu nilikuwa na maswali jumla 5
Unapojibu unaona tu hapa napuyanga, ukitaja points za maana kwenye swali husika unajua nimejibu
Unaweza kukadiria tu Kama ilivyo written
 
Tusubir pdf wakuu...tusijistress, kuna excel moja niliiona sehem..
Oral assessment, kuna mwenye 75,78,65...
Comment: kachukuliwa wa 75 kwa sababu anaufaham mzuri na kazi..
Hii ni comment ya engineer wa taasis hiyo...
Sasa naona hiyo ndio sababu hawaweki matokeo...
Hii haikuwa gov
 
Kwa non gov inawezekana. Sahili zinakua flexible, zinapima hasa kile unajua kuhusu kazi, hizi huku za kupambania huko "Migiro" za mention 5 points,... zimekosa flexibility hiyo.
 
Tusubir pdf wakuu...tusijistress, kuna excel moja niliiona sehem..
Oral assessment, kuna mwenye 75,78,65...
Comment: kachukuliwa wa 75 kwa sababu anaufaham mzuri na kazi..
Hii ni comment ya engineer wa taasis hiyo...
Sasa naona hiyo ndio sababu hawaweki matokeo...
Hii haikuwa gov
Ni kweli kabisa. Written interview kinaangaliwa kile ulichojibu tu ila oral interview yale majibu ni sehem ndogo ya ufaulu. Hata reaction yako pale unapoulizwa swali ambalo hulijui pia inaweza kukupa marks au kukupunguzia.
 
Back
Top Bottom