Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nimekuelewa nimeona muongo tu
Sijakuambia TaESA ina ajiri watu ila nimemanisha tasisi zinajichukulia maamzu ya kuajiri watu, elewa sasa ww kibaraka wa …. iko hivi tasisi zisha wahi kusema vijana wanao jitolea na wale wa intern wanauziefu wa kazi kuliingana na walivyo fanya nao kazi hivi bora wasiwaache wakaenda bila kuajiriwa na pili tasisi zinapo ajiri zenywe zinafanya zitakavyo tofauti na PSRS, sasa ww unakurupuka kujibu msg bila kuelewa maana ya msg unayo ijibia! Ndo maana nikasema ukiukiza why mnnafanya mambo mtakavyo ya ajira wanadai vijana wanao jitolea wana uelewa na kazi hiyo na sasa katika tasisi za serikali intern nyingi zinatolewa na TaESA, elewa usikurupuke kujibu bila kuwa na marifa mapana,(kila saa nazungumzia ufinyu wa marifa sasa na ww ndo uko hivyo!)
 
Wewe jamaa ni mjuaji sana.

Taasisi kuajiri zenyewe ili suala liko pande mbili ya kwanza UTUMISHI wanasema taasisi zinachelewesha kutoa go ahead ya kuita watu kazini na inawaletea watu wasio na ubora na ufanisi.

Hizi sababu ukiaziangalia zimekaa kiukiritimba na ndio maana TRA,EWURA,BOT wameanza kuajiri wenyewe volunteer wa Taesa.

Lakini swali langu kwa wewe unajiita Mwenye uelewa.

Unadhani TRA wamejiamulia wenyewe kuajiriwa bila kupewa mamlaka na serikali ?

Ukishajua kuwa wamepewa mamlaka na serikali basi itabidi ujue kuna vitu vingi nyuma ya pazia haujui.

Usiishie kulalamika sijui vijana wa TAEsa au volunteer wameajiriwa jiulize anaeajiri mamlaka kapata wapi?

Wakati Mwenye mamlaka ya kuajiri ni PSRS
 
Hivi ambao tuna check number hili tangazo la kuupdate personal ifo pale ajira portal linatuhusu?
 
Sasa mm nimesamaje hebu pitia msg yangu ya mwanzo ndo maana nasema unakurupuka huelewi content Ya msg yangu, hata sielewi unabisha nn, yani mm nilisema pia mqenye mamulaka ni psrs unabisha afu unaunga mkono bila kujijua looh!
 
Kwa uelewa wako huo utachelewa kupata kazi sana, unaweza ona ulifanya vizuri kwa interview kumbe unategemea sehemu ambako hamna unacho suburi, bora uwe mstali wa mbele kutete wenzako hata kama sio jobles kama mm kuliko kuwakandia
 
Kwa uelewa wako huo utachelewa kupata kazi sana, unaweza ona ulifanya vizuri kwa interview kumbe unategemea sehemu ambako hamna unacho suburi, bora uwe mstali wa mbele kutete wenzako hata kama sio jobles kama mm kuliko kuwakandia
Wewe umepata kazi.

Yaani unanitambia kwa lipi mzee.
 
Mathematics inasaidia katika maiaha sio sili 😁😁😁, wapo watu hata kama mnabishana au mnaelimisha kwa hoja ila unaona ueleewa wake mzuri na point nzuri wakati mwingine, mfano buti la mzungu jana tuielekezan kwa malumbano ya hoja ili wote tuelimishane, ila wewe sijui utawala 2025 hakuna kitu!
Sio kila course lazima ujiajiri.

Hr.
Procurement and supply.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…