Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna impact mzee hizo taasisi zote zilizoongoza kwa gawio ndo Kuna asali balaaa maana zinatengeneza faida kwaiyo maslahi ya mfanyakazi lazima yawe mazuri.
Kwa mtazamo wangu naamini taasisi nyingi tu zinamarupurupu na mishahara mizuri zaidi ya hizo zilizo hapo inategemea tu position yako. Niko moja ya taasisi zilizotoa gawio tena ni private ila nasotea PDF, so najibu with experience
 
Ni kweli taasis ni nafuu sana kuliko halmashauri, but my point tusiangalie zaidi tunaanzia au kuingia wapi. Tuingie huko ndani kwanza kisha akili yakupata mazuri zaidi itakuja, ngumu sana kuwaza maendeleo tumbo likiwa na njaa
Kweli, uko taasisi ni maombi kwa Mungu lakini asipojibu ni sawa tunaenda popote
 
Naombeni mnijibu tena GAWIO LINAHUSIANA VIPI NA AJIRA
Taasisi inayotoa Gawio maana yake inaweza kujiendesha vizuri, iko stable, kama mfanyakazi unaweza pata benefits nzuri.
Kama unamaanisha ajira hizi tunazosubiri sisi, bahati inaweza kukuangukia ukapata huko kweny hizo taasis
 
Hakuna kitu kama hiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…