Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwenye pombe utaweza
 
TRC kujeni mpinguze
Jam ya wasaka ajira waliyoko kwa data base (kazi data) ya utumishi huku😁😁 Tz yetu
Mimi nimefanya juzi tu, sikufika oral nimeishia practical tu, japo na oral mbili, oral moja MDA na LGA na oral ya mwisho ya veta carpentry japo nayo nimeachwa juzi wametoa majina.

Najianda kufanya tena vocational teacher plumbing.
 
Mungu atakuona tu, nenda kafanye uwe na oral nyingi huwezi jua utaangukia wapi ndugu
 
Mimi nimefanya juzi tu, sikufika oral nimeishia practical tu, japo na oral mbili, oral moja MDA na LGA na oral ya mwisho ya veta carpentry japo nayo nimeachwa juzi wametoa majina.

Najianda kufanya tena vocational teacher plumbing.
Hongera sana naona una sikills nyingi,carpentty na plumbing na kote una vyeti kiasi kwamba unachukuliwa utumishi,kikubwa usikate tamaa ipo siku yako yaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…