Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
General information.Wataalam wa check namba na check namba watarajiwa, msaada pale kwenye tell us about yourself unatakiwa usemeje!
Education background.
Work Experience.
Mwa ufupi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
General information.Wataalam wa check namba na check namba watarajiwa, msaada pale kwenye tell us about yourself unatakiwa usemeje!
Hatujaamini tulichofanyiwa...lkn week ijayo kuna pdf 5ukicheki uzi ulivyopoa unaweza kuzani majobless wamelala kumbe ni balaa uko webu 🤣 🤣
hii naona itakua kama last time walivyotuweka wiki 3Hatujaamini tulichofanyiwa...lkn week ijayo kuna pdf 5
Yah...hii naona itakua kama last time walivyotuweka wiki 3
sio mchezo nimeona matokeoLeo kuna wadau walikuwa wanakandwa uko
Cut off kubwa ..ICT nimeona 72 wamechomoka wachache kinomasio mchezo nimeona matokeo
zamani nakumbuka tulikua tunaitwa 280 alafu wanachomoka 4.ilikua tabu kweli bora sikuizi wembe umepungua makaliCut off kubwa ..ICT nimeona 72 wamechomoka wachache kinoma
Siku hizi mchawi practical...anaweza asitoke mtuzamani nakumbuka tulikua tunaitwa 280 alafu wanachomoka 4.ilikua tabu kweli bora sikuizi wembe umepungua makali
🤣 🤣Siku hizi mchawi practical...anaweza asitoke mtu
Mambo ya online aptitudeCut off kubwa ..ICT nimeona 72 wamechomoka wachache kinoma
Practical balaa..anaweza asitoke mtuMambo ya online aptitude
Multiple choice lazima wachomoke wengi hapo kipengele ni practical ndo uchawi kwenye ict
😁Practical balaa..anaweza asitoke mtu
Mkando ni wa hatari. 😂😂Naona laboratory assistant wamechomoka wawili tu ndio wamefika alama 50
Taarifa mbaya wk 3 za stress tu😪hii naona itakua kama last time walivyotuweka wiki 3
🫡 na ni bora inavyofanyik kikanda,maana ingekua dom unaend stand unasonya,unanung'unika mpaka unafika homeNaona laboratory assistant wamechomoka wawili tu ndio wamefika alama 50