El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
tukajiliwaze na pdf la matokeo kule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kujiandaa kutesek na kumaliza bando tu😃naona pincoladee umeweka silaha chini unakusanya nguvu za kesho..
😀🤣🤣🤣🤣unajikuta unaangalia adi visivyokuhusu, mm juzi apa nikaanza kuaview pdf za nyuma aisee Psrs wameniroga vibayatukajiliwaze na pdf la matokeo kule
ulikua unapitia ulizani labda ulikua unaangalia juujuu labda ukalipita jina.. 🤣 🤣😀🤣🤣🤣🤣unajikuta unaangalia adi visivyokuhusu, mm juzi apa nikaanza kuaview pdf za nyuma aisee Psrs wameniroga vibaya
😂😂😂😂unapishana na gari la mshaharaulikua unapitia ulizani labda ulikua unaangalia juujuu labda ukalipita jina.. 🤣 🤣
dahh tutakoma aisee😂😂😂😂unapishana na gari la mshahara
Morning!!! NawakumbushaHakikisha Jumatatu saa 9 alasiri unakiwa na bando na uko online
Mwaka mzima?.. hii mkuu nakushauri ufike physically ukaulizeNini MTU afanye ikitokea amepata placement halafu hana habari hajaona pdf zaidi ya mwaka mzima ndio anapata taarifa. Je nafasi yake imepotea?
Hakika!!Mwaka mzima?.. hii mkuu nakushauri ufike physically ukaulize
Vumilia tuWanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Vijana washaweka bando, wanaskilizia tu.Hakikisha Jumatatu saa 9 alasiri unakiwa na bando na uko online
Si naskiaga watu wanapigiwa simu..labda ukiwa hupatikani,ila mwaka mzima Huna taarifa yyte mmmh ata wambea hajakutafuta kukupa hongeraNini MTU afanye ikitokea amepata placement halafu hana habari hajaona pdf zaidi ya mwaka mzima ndio anapata taarifa. Je nafasi yake imepotea?
🤣🤣hapana mkuu tupo tayar popote,hali si haliVijana washaweka bando, wanaskilizia tu.
Tatizo kila mmoja anataka kuaznia kazi DAr es salaam, hawataki huku Mlele wilayani.
Nacheka kama mazuri ila nawaza tu , dah!🤣🤣hapana mkuu tupo tayar popote,hali si hali
🤣daaaa mkuu ni kitu cha kb au mb?Morning!!! Nawakumbusha
Sio mazuri kabisa,tunajikaza kisabuniNacheka kama mazuri ila nawaza tu , dah!
Ufipani kwa wachawi au Namanyere upo tayari kwenda, na hakuna uhamisho kwa miaka 5 ya kwanza?Psrs nipo tayar kupangiwa popote,mnipe iyo check no sasa😂😂, mtaani kugumu