Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Habari wakuu Mimi Nina certificate ya laboratory technician pia Nina experience ya miaka 3 kuhusu laboratory technician, laboratory analysis, QC,QA pia blending oparetor au syrup oparetor pia naweza kufanya kazi popote pale penye maabara au panapozalishwa bidhaa .yeyote atakaye nisaidia kupata connection ya job nipo tayri kuingia naye mkataba awe anakata 10% ya mshahala wangu ndani ya miezi 12.asanteni
Pole sana
Pia omba na taesa huwa wanaunganisha internship
 
kuna muda mtu unaingia unahisi labda watakua wamejichanganya unakutana na jamaa kasimama anacheka 🤣 🤣
 
Mm uwa najipigia mahesabu yangu ili niwe na amani mfano sasa nimepiga hesabu.

Tar 15 ndo watatoa mkeka so nimetulia tu nasubiri hapa Kati Kati wakitoa naona wamenisuprizs hiyo inapunguza stress.
 
Ila kwa serikali haipaswi kufanya vitu hivyo...raia tunatumia gharama kubwa kufanya hizi saili zao wanatakiwa wawe wawazi...
Kwenda dom, kula, kulala na kurudi dar tunatumia 100k+...
Haki yetu kupewa taarifa
 
Weka tangazo pale..mfano
Next placement will be on xx
Mkuu hiyo ni ngumu shida ipo kwa taasisi zinazohitaji watu PSRS wao niwatekerezaji tu ndio maana kuna kipindi wakipata hata watu watano basi hao hao wanaweka mkeka na ukitakujua taasisi changamoto kuna baadhi ya watu wamepata placement ila unaenda taasisi husika unakuta ni kama hawakujiandaa kupata mtu wa ajira mpya
 
Anyway sawa tuwavumilie tu...
 
Back
Top Bottom