Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna watu baadhi ya watu wanauchukuliaga udereva poa ila nenda kwenye saili zao ni ngumu kuliko lakini kuna watu wameingia kwenye mfumo kwa fani ya udereva ila baadae wakachange wakiwa kwenye mfumo
Binafsi sichukulii poa,lakini tunachomaanisha nafasi zao za kazi ni nyingi na idadi kubwa ya watu wanahitajika,mtu utapambana ipo sku utachomoka,ila kuna kada kwanza mpka uone tangazo la iazi aisee ni kwa nadra..lakini madereva kwakwel daah uwa sasa wanalamba asali mno,ebu angalia kuanzia mwezi wa kwanza kuna kada gani imewalambisha watu asali kuzidi waingia sheli?
 
Kwa mtazamo wangu naamini taasisi nyingi tu zinamarupurupu na mishahara mizuri zaidi ya hizo zilizo hapo inategemea tu position yako. Niko moja ya taasisi zilizotoa gawio tena ni private ila nasotea PDF, so najibu with experience

Kumbe private sectors wanatoaga gawio pia serikalini?? Hii ni new information kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…