Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Daaah bora ata ulisomeaga uderevaš,maana kada nyingine saiv zmekua jauDaaah hatimae nimepata kaz,mungu mwema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah bora ata ulisomeaga uderevaš,maana kada nyingine saiv zmekua jauDaaah hatimae nimepata kaz,mungu mwema
nini iko kinaenda kutokea 𤣠š¤£Soon,we jiandae tu kunipongeza naamini kuna kitu kinaenda kutokeaš«
Utakuja kukionašnini iko kinaenda kutokea 𤣠š¤£
mitaani watu tumekua case studyš¤£š¤£Daaah bora ata ulisomeaga uderevaš,maana kada nyingine saiv zmekua jau
Hongera sana mkuuDaaah hatimae nimepata kaz,mungu mwema
DĆ ah aibuu aiseeešmitaani watu tumekua case studyš¤£š¤£
Kumbe n ww yle rasi nliekuona interview?š¤£š¤£ jokes,hivi wanaume wanaruhusiwa kwel na rasi zao?kulaleki huu mwaka hauishi shatafuck booomboclaaat jah bless rasta man..
Ila nimefarijika leoKumbe n ww yle rasi nliekuona interview?
hamna labda kwenye sanaa ukoKumbe n ww yle rasi nliekuona interview?š¤£š¤£ jokes,hivi wanaume wanaruhusiwa kwel na rasi zao?
Kuna watu baadhi ya watu wanauchukuliaga udereva poa ila nenda kwenye saili zao ni ngumu kuliko lakini kuna watu wameingia kwenye mfumo kwa fani ya udereva ila baadae wakachange wakiwa kwenye mfumoDaaah bora ata ulisomeaga uderevaš,maana kada nyingine saiv zmekua jau
Na nini?Ila nimefarijika leo
Binafsi sichukulii poa,lakini tunachomaanisha nafasi zao za kazi ni nyingi na idadi kubwa ya watu wanahitajika,mtu utapambana ipo sku utachomoka,ila kuna kada kwanza mpka uone tangazo la iazi aisee ni kwa nadra..lakini madereva kwakwel daah uwa sasa wanalamba asali mno,ebu angalia kuanzia mwezi wa kwanza kuna kada gani imewalambisha watu asali kuzidi waingia sheli?Kuna watu baadhi ya watu wanauchukuliaga udereva poa ila nenda kwenye saili zao ni ngumu kuliko lakini kuna watu wameingia kwenye mfumo kwa fani ya udereva ila baadae wakachange wakiwa kwenye mfumo
Halafu upangiwe dereva wa PSRS unamuendesha Afisa tehama tunguyeš¤£ngoja niweke vyeti vya udereva sasa nianze kuapply udereva siku wakinipa kazi nawapakia nalenga kolongo alafu naruka.... 𤣠š¤£
Pengine unaweza kutokea muujizahivi si ndo mpaka j4 au
Kwa mtazamo wangu naamini taasisi nyingi tu zinamarupurupu na mishahara mizuri zaidi ya hizo zilizo hapo inategemea tu position yako. Niko moja ya taasisi zilizotoa gawio tena ni private ila nasotea PDF, so najibu with experience
Hizo private, ni zile ambazo serikali ina hisa zake umoKumbe private sectors wanatoaga gawio pia serikalini?? Hii ni new information kwangu
Hizo private, ni zile ambazo serikali ina hisa zake umo