Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Sasa mzee wewe si tayari Ushapata au?
Nimepata nn mkuu barua then hakuna kazi niliyonayo aisee utaratibu ukisitiswa je kama kipindi cha magu wakati anakagua vyeti feki Kuna watu walikua na barua mkononi Hadi Leo wapo kitaaa so taasis inaweza sema now mpango wa ajira haupo mpka hapo badae na ikawa hivyo Zaid ya Miaka mkuu then sehemu zingine wakaendelea na utaratibu mfano niliona tagazo website ya ajira Kuna tagazo la kuahirishwa usaili muce kama sijakosea Sasa kama nitakua nimekaa tu bila kuwepo kazini mkuu siwezi kuacha kwenda interview inayotaka watu 26 hata huko nyuma nilisema siku wakiita kwenye interview Bado nipo kitaaa nitaenda ila kama nipo kazini siwezi kwenda kuziba nafasi za watu na Nina kazi mkuu
 
Dah wale jamaa waliumizwa sana kipind cha magu
 
Sawa sawa kiongozi
 
Mkuu una hasira Sana za utafutaji ndo maana umetoboa mapema
 
Hapo hizo status za shortlisted mbili zimeniletea uvivu wa kujiandaa za received Mana Kiongozi unatulisha matangopori [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2407806
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hapa tunaongea tu mzee tulishakubaliana status hazina effect hizo me mwenyewe sijui mkuu we kula msuli tu kama kawaida sasa unataka nikubali kuwa nimekandwa?hata mimi ni shortlisted hivyo hivyo hapa tunajifariji tu maisha yasonge
 
Aaaaaaaaaaaaaaaaaa


Siku nikiona hii status ya MUCE imekuwa shortlisted ndio ntaamini status haina effect.
Acha nifikirie hivyo


Aaaaaaaaaaaaaaaaaa

Acha nilale tu maaana ntakufa kwa mawazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…