Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Aaaaaaaaaaaaaaaaaa


Siku nikiona hii status ya MUCE imekuwa shortlisted ndio ntaamini status haina effect.
Acha nifikirie hivyo


Aaaaaaaaaaaaaaaaaa

Acha nilale tu maaana ntakufa kwa mawazo
Nisikilize sasa mkongwe natoa mawaidha hapa kwenye web inaandika shortlisted=placement halafu kwenye app inaandika selected for=placement 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom