Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Muce nao wangetoa pdf basiSio kujifariji yani ukishaelewa huo utofauti utaelewa namaanisha nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muce nao wangetoa pdf basiSio kujifariji yani ukishaelewa huo utofauti utaelewa namaanisha nini
Kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kujifariji muhimu sana mzee sitaki stress hahhhh
😂😂😂😂 HaiwezekaniIla sisi jobless kujisahau yataka moyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lkn ndio tiba iliopo pia
Kweli mzeeAcha was was mzee utkuf kw stress sbri pdf
Wakiandika SELECTED FOR pale juu na maandishi ya kijani means umepata mm nliwahi andikiwa ivo kweny account kabla ya pdf kutoka..pdf ilivotoka nkawepo nmepataSio kujifariji yani ukishaelewa huo utofauti utaelewa namaanisha nini
Itatoka mwezi ujao inaunganishwa na yautumishiMuce nao wangetoa pdf basi
Wakiandika SELECTED FOR pale juu na maandishi ya kijani means umepata mm nliwahi andikiwa ivo kweny account kabla ya pdf kutoka..pdf ilivotoka nkawepo nmepata
Hapo ndio pagumu Sana mpk PDF itoke ndio maana kidg unaweza sahau lkn vimacho kila siku psrs ingawa Wengine WA database mpk wanapigiwagwa simu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] inawakuta washasahau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa huko kujisahau utaweza kiongozi??labda kama maisha yamenyooka
Kwenye website au app??Wakiandika SELECTED FOR pale juu na maandishi ya kijani means umepata mm nliwahi andikiwa ivo kweny account kabla ya pdf kutoka..pdf ilivotoka nkawepo nmepata
Kwenye app bhana alishasema pale juu😂😂😂Kwenye website au app??
Kwanza app haiko sawa, hivi unaweza Fanya application Kwa app, sehemu ya vacancy haifanyi kazi, app sio ya kuitegemea🤣🤣🤣Kwenye app bhana alishasema pale juu😂😂😂
Kwanza app haiko sawa, hivi unaweza Fanya application Kwa app, sehemu ya vacancy haifanyi kazi, app sio ya kuitegemea🤣🤣🤣
Kwangu haionyeshi vacancies, kama nimekuwa not shortlisted hawaweki sababu, picha haipo, na vitu vingi tu. Kwaiyo app sio ya kuiamini😅😅😅Kwangu ipo sawa unafanya kazi mzee😂😂😂😂
😂😂😂😂Hahhhh sawa amini shortlisted=placementKwangu haionyeshi vacancies, kama nimekuwa not shortlisted hawaweki sababu, picha haipo, na vitu vingi tu. Kwaiyo app sio ya kutoamini😅😅😅
Tubakie hapo hapo😂😂😂😂Hahhhh sawa amini shortlisted=placement
Hivi unasibiria placement ya taasisi gani😂😂😂😂Hahhhh sawa amini shortlisted=placement
Orci😂😂Hivi unasibiria placement ya taasisi gani
Ushapata✔️Orci😂😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nasema hivyo kwasababu kuna mdau wangu ilimuuma sana alipoona PDF hayumo na alikuwa hafanyi chochote zaidi ya kuisubiria lkn kumbe alikuwa database akasahau anashangaa ile PDF ya taasisi mbalimbali yumo wakati huo alikuwa anauza zake genge [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] saivi mlamba asali
😂😂😂😂Wewe ndo utumishi au??Ushapata✔️