Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka Wewe acha tu jamaa alikuwa km kapararaiz vile kwanza genge lenyewe sasa lilikuwa ukiliona unagundua jobless tunapitia mengi saivi kashasahau anakula cake ya taifa tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kutoka kuuza genge hadi kulamba asali, jobless tunapitia vipindi vigumu sana
Kapewa kura ya ndioUshapata[emoji3581]
Inaandika SELECTED FOR basiSelected for:null au inakuaje Yani?
😂😂😂😂Kwahiyo iliyoandika selected afu chini kuna time table tumekandwa au?Inaandika SELECTED FOR basi
Ila huyu jamaa king'ang'anizi sana wew ushapigwa chin relax jobless😂😂😂😂Kwahiyo iliyoandika selected afu chini kuna time table tumekandwa au?
😂😂😂😂Hahhhh ushaanza kunipa presha tenaIla huyu jamaa king'ang'anizi sana wew ushapigwa chin relax jobless
sasa wewe ndo umekuja na majibu yakueleweka tukutane kaziniHili la Shortlisted na Seleçted for nimejaribu ulizia ulizia ipo hivi
Shortlisted: Umeorodheshwa either katika kazi husika au taasisi uliyofanya usaili mawili kupata kama marks zako zipo juu au kupata katika taasisi nyingine inayolingana na nafasi ya kazi uliyofanyia usaili wa oral
Selected for: Umechaguliwa na umehusika katika mchakato wa ajira hadi mwisho hapa sasa huenda pdf ya placement ikatoka kulingana na uharaka wa taasisi na hii hubadilika pia ,,,na kama umekosa pia hubaki shortlisted katika kanzi Data
Ukiona shortlisted jua mchakato umekamilika 100%
Ukiona ipo selected for mchakato unafanyiwa kazi pia unauwezekano wa kupata placement ikiwa hivyo hivyo
Umemuelewa vzur au umekurupuka kijana wangusasa wewe ndo umekuja na majibu yakueleweka tukutane kazini
Na unaweza kukusa kabisa kulingana na marks zako katika oral uliyofanyasasa wewe ndo umekuja na majibu yakueleweka tukutane kazini
😂😂😂😂Asa yupi atakekosa hapo ?Na unaweza kukusa kabisa kulingana na marks zako katika oral uliyofanya
😂Umemuelewa vzur au umekurupuka kijana wangu
Hujaelewa bado una wenge soma tena vzur😂😂😂Hahhhhh nimemuelewa
😂
Ikiandika SELECTED FOR juu afu chini namba ya mtihani ile na timetable..umepata kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo iliyoandika selected afu chini kuna time table tumekandwa au?
We jamaa 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂Kwahiyo iliyoandika selected afu chini kuna time table tumekandwa au?
😂😂😂😂Maana sielewi elewi hapa hahhhhWe jamaa 🤣🤣🤣🤣🤣
Sawa sawa ngoja tusubiri pdf hizi status tutakufa bure😂😂Ikiandika SELECTED FOR juu afu chini namba ya mtihani ile na timetable..umepata kazi
😂😂😂😂😂Hahhhh nimerudia kusoma naona sijaelewa vizuriHujaelewa bado una wenge soma tena vzur
Kuna mwamba wamba kapata za TRA kanitumia status ilivokua kwenye aIkiandika SELECTED FOR juu afu chini namba ya mtihani ile na timetable..umepata kazi