😆😆😆mie nilikuaga najisemea nikimaliza chuo tu najenga fasta nanunua na kateza cha kuzugia kumbe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆😆mie nilikuaga najisemea nikimaliza chuo tu najenga fasta nanunua na kateza cha kuzugia kumbe
We si ulipata mchongo EACOP bomba la mafuta ?Daa nilikuwaga nashangaa inakuwaje graduate anasugua kitaa miaka 5 toka amalize chuo.
Mwezi wa saba na mimi nafikisha 5 years nikiwa jobless kumbe miaka inakimbia hivi.
Utumishi imekuwa kama karakana ya kuzalisha jobless wenye matatizo ya akili mtu unasubiri placement bila kujua kama uko database au walikutema
Acha tu mkuu nimesugua benchi hadi nimemkumbuka jamaa yangu tulimaliza fm4 2013 akapata division 4 ya kwanza selection zilipotoka yeye akapangwa kwenda upolisi jamaa now anazaidi ya miaka 10 kazini. Na kipindi hiko tulikuwa tunaona kama kapoteamie nilikuaga najisemea nikimaliza chuo tu najenga fasta nanunua na kateza cha kuzugia kumbe
Mkeka wenyew mmh jmn jamani😪Mbona kama kuna mkeka Instagram huko!!
Share linkMbona kama kuna mkeka Instagram huko!!
Upo kweli?Mkeka wenyew mmh jmn jamani😪
Hii ni jf mzee,..ww nenda sekretarieti_ya_ajira insta utaona.Share link
Ok nimeuona...mimi mwanzo nilikuwa nacheck page tofautHii ni jf mzee,..ww nenda sekretarieti_ya_ajira insta utaona.
nikweli mkuu! kama kawaida masuka aka washika usukani kadhaa wamo!Jobless kuna pdf naskia utumishi wameposti kwenye page yao instagram na hiyo pdf nimeipata. Je hizo taarifa ni za kweli.? Maana kwenye web sioni kitu.
Daaah mkeka sio wa kujidai kbisa😀Tunashukuru IT kwa pdf...kesho toa ndefu kidogo
Sio poaaa mkuuu mimi sielew kabisa,I'm dowwwwwwwnnnnnnNdo namaliza kusogeza toroli langu la miwa hapa rangi tatu, [emoji848]kikweli tumekwisha
Mwanangu mwenyewe[emoji3][emoji3]hawa wasenge hio tabia ya kupost mikeka insta halafu web hawaweki wameanza lini
Tulia mkuu,dawa inaingiaaaa Babaaaahawa wasenge hio tabia ya kupost mikeka insta halafu web hawaweki wameanza lini