Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ivi T-pain alipata kazi?, huenda vile ving’ora vilikuwa vya kuwaaga, 😁
Sema alikuwa anachangamsha jikwaa!, yaani hata juma pili na siku za sikukuu utasikia kuna pdf la placement huko😁😳
 
Office za trc tuanaenda utumishi(psrs)😁
TRC kwahiyo mumegomesha kupuguza data base ya psrs kwa wakati na fasta!, ngoja twendelee kupanda hizo electrical locomotive vehicle, faida ipatikane ili ipatikane pesa ya kulipa pesa ya kujikimu ya watumishi wapya😁, jorkes, jobles marufuku kwenda morogoro kwa gari twende na hizo locomotive ili waje huku utumishi kupunguza kazi data maana itaakuwa zoa zoa ya wengi tu😁😁😁
 
Ivi T-pain alipata kazi?, huenda vile ving’ora vilikuwa vya kuwaaga, 😁
Sema alikuwa anachangamsha jikwaa!, yaani hata juma pili na siku za sikukuu utasikia kuna pdf la placement huko😁😳
mmemmiss sio
 
Wadau niwe mkweli mimi najihisi nina mikosi kwenye suala la ajira(maisha). Oral moja toka 2022 hakuna aliyeitwa kazini mpaka leo, nyingine toka mwaka jana wameita wawili tu. Kabla ya kufika hizi oral watu wa kada yangu walikua wanaitwa sana kazini.
Umesomea nini..
 
Back
Top Bottom