No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,063
- 12,563
Upo sawa, kuna taasis dereva analala na gari hasa madereva wa wakurugenziNadhani nyie mpo halmashauri huko ndio madereva wanaishi kwa ugumu sana maana huko kwanza hawaruhusiwi hata kulaza gari nje ya ofisi dereva akishamshusha kiongozi anarudisha gari afisini, dereva sio muosha magari ila anatakiwa kuhakikisha gari safi anawezeshwa fatilia kwanza kabla ya kubisha