Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nadhani nyie mpo halmashauri huko ndio madereva wanaishi kwa ugumu sana maana huko kwanza hawaruhusiwi hata kulaza gari nje ya ofisi dereva akishamshusha kiongozi anarudisha gari afisini, dereva sio muosha magari ila anatakiwa kuhakikisha gari safi anawezeshwa fatilia kwanza kabla ya kubisha
Upo sawa, kuna taasis dereva analala na gari hasa madereva wa wakurugenzi
 
Munabishana wakati nyie sio madereva😀😀😀😀 joblesss mumevurugwa
Aje dereva wa halmashauri na taasisi watoe ushuhuda nadhani itakua muharubaini
Maana siri ya maiti haijuae muosha😁😁
 
Acha ubishi mzee Kuna watu gari za serikali wanalaza majumbani kwako japo sio utaratibu wa serikali
Sio utaratibu ndio maana napinga hoja ya jamaa anarahisisha kua Dereva kulaza gari nyumbani ni kitu inaruhusiwa.
 
Upo sawa, kuna taasis dereva analala na gari hasa madereva wa wakurugenzi
Ni sahihi mkuu ila watu wanabisha na mwisho wa mwezi watu wanaandika dokezo kuomba pesa ya kulaza gari na kuosha, sijawahi kuona dereva wa serikali amekunja suruali anaosha gari labda halmashauri huko ila watu wanabisha.
 
Upo sawa, kuna taasis dereva analala na gari hasa madereva wa wakurugenzi
Ni sahihi mkuu ila watu wanabisha na mwisho wa mwezi watu wanaandika dokezo kuomba pesa ya kulaza gari na kuosha, sijawahi kuona dereva wa serikali amekunja suruali anaosha gari labda halmashauri huko ila watu wanabisha
Munabishana wakati nyie sio madereva😀😀😀😀 joblesss mumevurugwa
Aje dereva wa halmashauri na taasisi watoe ushuhuda nadhani itakua muharubaini
Maana siri ya maiti haijuae muosha😁😁
watu wamevurugwa mkuu utumishi wafanye mambo
 
Nadhani nyie mpo halmashauri huko ndio madereva wanaishi kwa ugumu sana maana huko kwanza hawaruhusiwi hata kulaza gari nje ya ofisi dereva akishamshusha kiongozi anarudisha gari afisini, dereva sio muosha magari ila anatakiwa kuhakikisha gari safi anawezeshwa fatilia kwanza kabla ya kubisha
ila broo mi kuna dereva wa ccm nilishuhudia alikua analala na gari tena landcruiser so sibishi
 
Jaman kama uliwahi fika oral lakini hujaitwa kazini na mwaka umepita na zaidi nifanyeje 😭
 
Back
Top Bottom