Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ivi mtu kafanya oral mwezi wa 7 na wengine mwezi wa 11 mwanzoni mwaka 2023 hadi saivi hakuna real placement yaani kuna ugumu sana kusubiri real placement kuliko data base kwa kipindi cha muda mrefu, au ndo wamezisahau hizo nafasi 😂😭😁
 
Hakuna chochote kinachoendelea zaidi ya danadana nasikia wanasubiri mkopo kutoka China baada ya nchi za magharibi kutokuunga mkono eacop ndio maana mimi naendelea kupambana kutafuta michongo mingine
Aisee
Mi yalinifanyia online interview mwaka jana mwezi wa kumi moja ila mpaka leo kimya ,ilikuwa position ya Engineering, majamaa hayatoi hata mrejesho
Majitu ya ovyo kweli .
 
Hakuna chochote kinachoendelea zaidi ya danadana nasikia wanasubiri mkopo kutoka China baada ya nchi za magharibi kutokuunga mkono eacop ndio maana mimi naendelea kupambana kutafuta michongo mingine
Aisee
Mi yalinifanyia online interview mwaka jana mwezi wa kumi moja , ila mpaka leo kimya ilikuwa position ya Engineering , majamaa hayatoi hata mrejesho
Majitu ya ovyo kweli .
 
hawa nimewashtukia wameingia ubia na mitandao ya simu upande wa bando
Inabidi page yao ya instagram na website Yao waiweke kwenye adsence wavune maokoto kabisa ,maana si kwa nyomi hili la watu wanaoingia huko kufuatilia pdf kila sekunde
 
Jaman mm toka nimalizie oral mwaka na miezi 8 imepita wenzangu walipangwa asa sijui nitakua database nimeshasubiri Hadi nimekata tamaa.
Mmmmmh ndo maana mm naona bora mtu ufahamu matokeo yako au status ionyeshe uko data base na kama muda wa data base ikiisha positions hazijapatikana basi status ya database iandikwe imexpiry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…