Native diaspora
JF-Expert Member
- Nov 19, 2020
- 265
- 458
Pole Pinacoladee njoo rangi tatu upoze machungu na miwa mkuu, psrs isije tupa kisukariSio poaaa mkuuu mimi sielew kabisa,I'm dowwwwwwwnnnnnn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Pinacoladee njoo rangi tatu upoze machungu na miwa mkuu, psrs isije tupa kisukariSio poaaa mkuuu mimi sielew kabisa,I'm dowwwwwwwnnnnnn
acha tu mwanangu sjui niwe jambazi??Mwanangu mwenyewe[emoji3][emoji3]
Daaaa mkuu watatuua awa,nitakuj nijipozePole Pinacoladee njoo rangi tatu upoze machungu na miwa mkuu, psrs isije tupa kisukari
Vibaka tu hawa😂Kwa stage walifikia psrs Hawana tofauti na genge la wahuni.
Wanazidiwa hadi na TAESA
AiseeHakuna chochote kinachoendelea zaidi ya danadana nasikia wanasubiri mkopo kutoka China baada ya nchi za magharibi kutokuunga mkono eacop ndio maana mimi naendelea kupambana kutafuta michongo mingine
AiseeHakuna chochote kinachoendelea zaidi ya danadana nasikia wanasubiri mkopo kutoka China baada ya nchi za magharibi kutokuunga mkono eacop ndio maana mimi naendelea kupambana kutafuta michongo mingine
Jaman mm toka nimalizie oral mwaka na miezi 8 imepita wenzangu walipangwa asa sijui nitakua database nimeshasubiri Hadi nimekata tamaa.Sa nyingine matusi wanataka wenyew kumbe,wanalazimisha watu kutukana
Inabidi page yao ya instagram na website Yao waiweke kwenye adsence wavune maokoto kabisa ,maana si kwa nyomi hili la watu wanaoingia huko kufuatilia pdf kila sekundehawa nimewashtukia wameingia ubia na mitandao ya simu upande wa bando
Mmmmmh ndo maana mm naona bora mtu ufahamu matokeo yako au status ionyeshe uko data base na kama muda wa data base ikiisha positions hazijapatikana basi status ya database iandikwe imexpiryJaman mm toka nimalizie oral mwaka na miezi 8 imepita wenzangu walipangwa asa sijui nitakua database nimeshasubiri Hadi nimekata tamaa.
kweli kabisaMmmmmh ndo maana mm naona bora mtu ufahamu matokeo yako au status ionyeshe uko data base na kama muda wa data base ikiisha positions hazijapatikana basi status ya database iandikwe imexpiry
Kuna muda jamaa wana katisha tamaa ila tusife moyo tuendelee kupambanaMajobless Wana hasira sana na PSRS ila kuna Wana kama watatu mkeka wa jana wamelamba asali na mmoja kaka data base mwaka alifanga saili mwaka jana mwezi wa 6 akakata tamaa akaanza kuomba kazi upya ila jana kaonekana
Ngachoka .uzuri watendaji hawatokeagi kwenye pdf la placement laasivyo tungetafutana [emoji1787] [emoji1787]
aisee nahemea mipira..Ngachoka .
Kaka unaendeleaje mambo ya pdf
Ila utumishi washenzi na vimekeka vyao wamejaza maderevaaisee nahemea mipira..