El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
hawa nyumbu sio wa kuwazingatiaKutoka twitter....π
Wanazingua tu na hiyo 50 yaoππ haiko constantKutoka twitter....π
Hakika,kuna moja mm nilopata 61 nikakatwa πππ wakati nishavuka 50 wanayoizungumzia hapohawa nyumbu sio wa kuwazingatia
Wapo wanne...hii pdf la matechnicianWahandisi umeme vipi?! El marabiosh et all....
Civil technician wapo wengi hawawezii kuisha database kirahisii maake walioingia oral tu walikuwa 20+,sema technician civil miaka hii 2 wameajiriwaa saanaTechnician II civil= 26, si database imeisha hiyo
Mkuu huyo neema tuliripoti naye kazinii siku moja VETA pale,HR akamwambia hiyo nafasii ilishagajazwa na mtu coz alitokea database so arudi utumishi apangiwe sehemu nyingnee ndiyo nimeona kwenye pdf ya Leo amepangiwa TRCngalieni huyo engineer Neema antony kilugara kaitwa mara mbili pdf tofauti
Tanroad wanawachukuaga kama samakiCivil technician wapo wengi hawawezii kuisha database kirahisii maake walioingia oral tu walikuwa 20+,sema technician civil miaka hii 2 wameajiriwaa saana
anhaaaMkuu huyo neema tuliripoti naye kazinii siku moja VETA pale,HR akamwambia hiyo nafasii ilishagajazwa na mtu coz alitokea database so arudi utumishi apangiwe sehemu nyingnee ndiyo nimeona kwenye pdf ya Leo amepangiwa TRC
holaWahandisi umeme vipi?! El marabiosh et all....
rahsully vp π€£ π€£ π€£Umemeee umemeee umemeee
Wamewaona LeoTRC mje kwa data base ya utumishi huku wasaka ajira wanasubiri zoazoa yenu huku!