Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Civil technician wapo wengi hawawezii kuisha database kirahisii maake walioingia oral tu walikuwa 20+,sema technician civil miaka hii 2 wameajiriwaa saana
Tanroad wanawachukuaga kama samaki
 
Mkuu huyo neema tuliripoti naye kazinii siku moja VETA pale,HR akamwambia hiyo nafasii ilishagajazwa na mtu coz alitokea database so arudi utumishi apangiwe sehemu nyingnee ndiyo nimeona kwenye pdf ya Leo amepangiwa TRC
anhaaa
 
Leo TRC wamechukua waliyo wao 😁👍 ila bado wengine TRC hebu nena Tena na jobless
 
Back
Top Bottom