Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Inaishia hapo hapo selected forIkiandika selected For: maandish ya kijani means umepata usubirie tu pdf ya kuitwa kazini
Nisikilize sasa mkongwe natoa mawaidha hapa kwenye web inaandika shortlisted=placement halafu kwenye app inaandika selected for=placement πππππAaaaaaaaaaaaaaaaaa
Siku nikiona hii status ya MUCE imekuwa shortlisted ndio ntaamini status haina effect.
Acha nifikirie hivyo
Aaaaaaaaaaaaaaaaaa
Acha nilale tu maaana ntakufa kwa mawazo
Ndio inaishia apoInaishia hapo happy selected for
πππNi hapo hapo mzee hakuna neno lingineInaishia hapo happy selected for
Ukiona imeandika selected for oral maaana yake huna chakoπππNi hapo hapo mzee hakuna neno lingine
Kwenye website au kwenye app??Ukiona imeandika selected for oral maaana yake huna chako
Kwenye appKwenye website au kwenye app??
Oya me hata sielewi bhna ila najua tu selected kwenye app afu kwenye web inakuwa shortlisted we compare ya muce imekuandikiaje kwenye app na IAE imeandikaje afu tuanzie hapoKwenye app
Aisee mambo ni mengi πIkiandika selected For: maandish ya kijani means umepata usubirie tu pdf ya kuitwa kazini
Hiyo ni kwenye app sio kwenye websiteAisee mambo ni mengi π
Nishanyong'onyea hapa, kwenye app wameandika 'selected for, null' maana yake ni mkando madhubutiOya me hata sielewi bhna ila najua tu selected kwenye app afu kwenye web inakuwa shortlisted we compare ya muce imekuandikiaje kwenye app na IAE imeandikaje afu tuanzie hapo
Sasa ulitaka waandike selected for job au placement???hahhhhh hapo inakuwa hivyo ,Kuna tofauti kati ya muce na IAE???Nishanyong'onyea hapa, kwenye app wameandika 'selected for, null' maana yake ni mkando madhubuti
Nawewe wamekuandikia SELECTED FOR null?Sasa ulitaka waandike selected for job au placement???hahhhhh hapo inakuwa hivyo ,Kuna tofauti kati ya muce na IAE???
Nawewe wamekuandikia SELECTED FOR null?
Kazi ipo, Hadi MUCE Iko hivyo hivyoNdivyo inavyokuwaga mzee acha kuogopaπππππ
ππππTukalime sasa hizi status zitatuua mzee hahhhhKazi ipo, Hadi MUCE Iko hivyo hivyo
Wangetoa tu tutakufa kwa presha πππππTukalime sasa hizi status zitatuua mzee hahhhh
πππHivi kwanini kuwe na utofauti kati ya app na website?ππππTukalime sasa hizi status zitatuua mzee hahhhh
πππππHuwezi kufa sema chamoto sasa tutakipataWangetoa tu tutakufa kwa presha π
Mpaka Sasa nakionaπππππHuwezi kufa sema chamoto sasa tutakipata